MSAADA NAMTAFTA MCHUNGAJI Gideon Parapanda

MSAADA NAMTAFTA MCHUNGAJI Gideon Parapanda

Sendekera

Member
Joined
Feb 18, 2018
Posts
39
Reaction score
60
Mwaka 2013 alikuwa Arusha kwasasa nasikia yuko Dar es Salaam kiukweli sifahamu aliko.

JINSI NILIVYOMFAHAMU:Alimsaidia sana my broo ambaye alipatwa tatizo kubwa la kiafya. Huyu mchungaji alikuja Merelani akampa sala jamaa yangu akapona.

Kwanini namtafuta: kuna mambo aliniambia sasa mengine yametokea nataka kumshukuru.
Naombeni msaada
 
Inaweza kuwa tangazo pia.

Hongera kwa kufanikiwa/kuyaona yale uliyotabiriwa
 
Badala ya kumshukuru mungu unataka kuhangaika na wanadamu?????
Maarifa yakikosekana n hasara sana
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom