Jamani kuna watu wananichekesha mpk mbavu zauma,hahaha sichukulii jinsi ulivo,mana io kauli yako tu

nkikutafsir nahis ntakufa kwa kucheka eti muongo mkubwa ww hahaha,ww muongo mdg au muongo kifupi nyundo,ungeelezea ww ati inavotengezwa kuliko kukaa kukenua maneno eti uongo,sasa si uelezee umekakamaa tu kama nyaya ya umeme

na kauli iyoiyo,elezaa sasa inavotengezwa,ktk comment zote zilizocommentiwa umu ni mm tu nmejaribu kutoa ushirikiano kwa nnachokijua,sasa ww unaelalamika uongo uongo elezea ww sasa tukuskie unavotengezaga,na uyo mwenzako anaesoma kuna utofaut wa yoghut na mtindi aje apa aelezee kulko kuleta maneno mia wakat jibu lipo.

umenifurahisha sana muongo mdg,mie muongo mkubwa angalau nmejitahid kwa maelezo