mwana ally
JF-Expert Member
- Jan 30, 2014
- 363
- 119
Wajuzi wa hizi teknolojia nisaidieni namna ya kuweka picha humu JF . inawezekana maelezo yalishatolewa huko mwanzoni ..nami sijakutana na huo uzi( mi bado mgenii) inawekana lipo jambo ambalo ukiweka na picha inaleta maana zaidi au uelewa zaidi.nasubiri maelekezo