Msaada: Namna ya kuweka full width CSS, Related posts display na Post Navigation display kwenye blogger

Wong Fei

JF-Expert Member
Apr 13, 2016
4,817
6,442
Thread closed

View attachment 1

View attachment 1898

Screenshot 08-19-2021 14.16.03.png

Jf.png
 
Habari!
Nimekwama hapo tutani. Nahitaji kuset ili ionekane kama hivi kwenye blog yangu (blogger). Hapo paliwekewa kimvuli cha kijani
View attachment 1898011

Unatumiaje hapa maana nimekwama? Lengo langu zitokee hizo headline kama Firmware, trick n.k kwenye blog yangu
View attachment 1898015
Shukurani:
Kama utashindwa niandalie buku saba otherwise share link ya blog
 
Kama hiyo template umeinunua kwa developer basi mwambie akupe code ya kuweka hapo mara nyingi zipo kwenye manual file. Kama umeichakachua/download kibishi basi wasubiri wajuzi waje na gharama zao
 
Sijui hata code nabahatisha tu. Shida yangu nahitaji post zitokee km kwenye picha ya kwanza yenye kimvuli cha kijani.
Hapo nimekutana na CSS, Related posts display na Post navigation display.
Nimejaribu imenishinda kwahiyo nikaja hapa kuomba msaada
te

ingekusaidia kama ningeipata iyo template ni kueditie unavyotaka
 
Back
Top Bottom