Msaada namna ya kutoa mimba bila kupata madhara kiafya

jamani hata ingekuwa ni siku moja hicho tayari ni kiumbe na kina haki ya kuishi, kama mlikuwa hamna mpango wa kuzaa kwanini hamkutumia kinga au hata kalenda jamani, muacheni huyo mtoto ana haki ya kuishi mwe, usimshauri mwenzako kutoa siku atakapomshika mtoto mikononi ndo atajua uzuri wa mtoto, mkitoa anaweza kuja tafuta akamkosa ikawa majuto
 
Demu wangu kapata mimba kwa sasa ana wiki mbili na hahitaji kuzaa kwa sasa

NB.Kwa wale wanaopenda kujibu kwa matusi sihitaji ni bora wakaendelea na thread zingne na siyo KUNITUKANA.Pliz pliz matusi sitaki nataka USHAURI WAKO TU.ASANTENI

Mkuu huyo mwenzako angekuwa haitaji kuzaa asingepata ujauzito. Kama amepata ujauzito ni dhahiri atazaa hakuna jinsi zaidi ya hapo. Unajua kila siku unapofanya kitu huwa kuna outcome. Ukiwa shule ukajitahidi kusoma kwa bidii basi utafaulu na kinyume chake. Ukinunua sumu ya panya ukaamua kuila ni dhahiri unajua what will be next, unless you have a problem of unsound mind.

Vivyo hivyo unapofanya ngono bila kuchukua tahadhari kama za kujikinga na magonjwa ya zinaa au hata kujikinga na mimba ni dhahiri kuwa upo tayari kwa matokeo unless you don't have sound mind na haiwezekani kabisa kam ukiwa na unsound mind ukajua kuwa una mimba na hutaki kuzaa au ukifanya ngono utapata starehe. Tena mshauri pia kuwa mkapime na UKIMWI

Ushauri wangu kwa wewe na mwenzako ni kuwa subirini kuzaa na muachane na mawazo ya kutozaa wakati tayari mmeisha bebeshana ujauzito. Mawazo ya kutokuzaa huwepo kabla ya kupata ujauzito na hivyo kuchukua tahadhari za kuepuka kuzaa kabla ya kuingia kwenye shughuli ya uzazi (ngono). Na mkijaribu kutoa mimba mwambie mwenzako pia anaweza vilevile akajikuta amepoteza maisha ama asije pata nafasi ya kuzaa tena katika maisha yake.
 
jamani hata ingekuwa ni siku moja hicho tayari ni kiumbe na kina haki ya kuishi, kama mlikuwa hamna mpango wa kuzaa kwanini hamkutumia kinga au hata kalenda jamani, muacheni huyo mtoto ana haki ya kuishi mwe, usimshauri mwenzako kutoa siku atakapomshika mtoto mikononi ndo atajua uzuri wa mtoto, mkitoa anaweza kuja tafuta akamkosa ikawa majuto

good advice!
 
Katoe mbona bado ndogo sana hiyo haina madhara.

Ukweli ni kwamba wengi wanao kusha huri hapa hawata kuwapo hapo maisha yatakapo kuwa yanakuendea kombo kwa kukimbilia majukumu wakati hukuwa tayari kwa hayo.
 
Pamabana utapata kazi na mtoto wako utamlea tu,usijefanya kitu utakachojutia baadae.
 
Napenda kukupa hongela kwa kitendo hicho mshukulu mungu wenzio tunatamani kuwa na watoto tazama nimekaa kwenye ndoa miaka 3 na bado sijafanikiwa nimehangaika sana sijabahatika nakuomba vuta wazo lako kama wewe unauwezo wa kuishi na ukawa na malengo basi huta shindwa kulea mimba usimuhalibie mwenzio maisha ebu fikilia km uzao wako ni mtoto moja tena ndo huyo we fanya tu adhabu yake utakuja ipata itafikia kipindi unataka mtoto na hutapata hata kama hauna malengo ya kuja kumuoa we lea huo ujauzito hakuna hata moja atakae kunga huo utumbo wake.mi nataman angekuwa mk wng ningefulah usifanye hivyo kuwa na huluma sawa huyo mwanamke humtaki je nae mwanao.usizembe watu tunashida na watoto
 
Mwambie demu wako azae halafu anipe mimi mara tu atakapozaa halafu tusijuane mbele ya safari.
 
Napenda kukupa hongela kwa kitendo hicho mshukulu mungu wenzio tunatamani kuwa na watoto tazama nimekaa kwenye ndoa miaka 3 na bado sijafanikiwa nimehangaika sana sijabahatika nakuomba vuta wazo lako kama wewe unauwezo wa kuishi na ukawa na malengo basi huta shindwa kulea mimba usimuhalibie mwenzio maisha ebu fikilia km uzao wako ni mtoto moja tena ndo huyo we fanya tu adhabu yake utakuja ipata itafikia kipindi unataka mtoto na hutapata hata kama hauna malengo ya kuja kumuoa we lea huo ujauzito hakuna hata moja atakae kunga huo utumbo wake.mi nataman angekuwa mk wng ningefulah usifanye hivyo kuwa na huluma sawa huyo mwanamke humtaki je nae mwanao.usizembe watu tunashida na watoto

Thanks sana bro.Nmekukubali sana
 
Ndugu huyo shetani aliyekushika hebu mkemee,mwenzio nilihangaika ndani ya ndoa karibu miaka mitano bila mimba wala kichefuchefu,baada ya kutembea huku na kule na maombi Mungu akanisikia,nilijifungua HIVI KARIBUNI 2012 baby boy lakini alifariki muda mfupi kabla ya kuzaliwa.Nikarudi kukosa tena.Sijui kama umenipata hapo,natamani kukutoa hiyo roho ila siwezi,hebu kuwa na huruma na hicho kiumbe,usiangalie starehe zenu,huyo mkweo atakuwa na raha na ww akigunua unyama huu.THINK TWICE
 
Huyo demu wake akifa we utakuwepo kumsindikiza segerea?kama ndio fanyeni mpango mkutane na uwasindikize kwenda kuua,ili ikitokea kinyume msindikizane pia.
 
Katoe mbona bado ndogo sana hiyo haina madhara.

Ukweli ni kwamba wengi wanao kusha huri hapa hawata kuwapo hapo maisha yatakapo kuwa yanakuendea kombo kwa kukimbilia majukumu wakati hukuwa tayari kwa hayo.
maisha hayatabiriki ndugu yangu unaweza ukajipanga na kesho ukarudi kwenye msoto kama kawa.
basi wale wa vijijini wasingezaa watoto mana maisha yao ni magumu sana.
 
Ndugu huyo shetani aliyekushika hebu mkemee,mwenzio nilihangaika ndani ya ndoa karibu miaka mitano bila mimba wala kichefuchefu,baada ya kutembea huku na kule na maombi Mungu akanisikia,nilijifungua HIVI KARIBUNI 2012 baby boy lakini alifariki muda mfupi kabla ya kuzaliwa.Nikarudi kukosa tena.Sijui kama umenipata hapo,natamani kukutoa hiyo roho ila siwezi,hebu kuwa na huruma na hicho kiumbe,usiangalie starehe zenu,huyo mkweo atakuwa na raha na ww akigunua unyama huu.THINK TWICE

Thankx nmekupata!
 
Back
Top Bottom