Msaada, namna ya kutengeneza spreadsheet template

Msaada, namna ya kutengeneza spreadsheet template

ESPIRIT

JF-Expert Member
Joined
Jul 3, 2014
Posts
665
Reaction score
524
Mwana JF. salaam sana, na baada ya salam je hujambo?.

Naomba unielekeze namna ya kutengeneza template, mfano ambayo nikiingiza pesa ilaleta jumla, au ya kuingiza matokeo ya wanafunzi, nikishaingza napata jumla, wastan, nafasi na grade.

Natanguliza shukran, mwana Jf.
 
Jamani watu wanafunguwa Computer course kufundisha hayo, nenda kalipe ada usomee package unayotaka.
 
Mkuu hiyo kitu sio ya kujifunzia au kuelekezwa humu ndani. Ni kazi kidogo
 
Back
Top Bottom