Msaada namna ya kutengeneza SMS Group

Msaada namna ya kutengeneza SMS Group

HaMachiach

JF-Expert Member
Joined
Dec 15, 2015
Posts
3,448
Reaction score
6,211
Wanajamvi habali ya Leo, nikiwa huku ntwara kununua koro-show kuunga juhudi za CEO wa tz ninaomba msaada wa namna ya kutengeneza mfumo wa kutuma SMS za kawaida kwa watu zaidi ya 1000 kwa wakati mmoja ninataka nifanye hivyo ili kurahisisha ununuzi wa koro-show hata kama ni App ipi inafaa na namna ya kutumia nawasilisha
 
Nmewahi sit nakuja soon kichangia
 
Ngoja tuendelee kusubir wajuzi waje mkuu
 
Wale wazee wa "ILE HELA TUMA KWENYE HII NAMBA JINA LITAKUJA JIWE " watakuwa na majibu mazuri maana kila mtu alishapata SMS zao.
 
Navyujua mie

Unaingia kwenye message unaandika sms yako then kwajuu kuna ki-plus(+) una click hapo una select from contact list wakuwatumia then unasend inaenda kwa wote.
 
Kwenye samsung j7 prime naona kama ni mwisho watu ishirini(20) kwa mkupuo
 
Back
Top Bottom