Msaada: Namna ya kurudisha furaha inayopotea

Mimi nakushauri Kama maisha unaona yanakupiga tuu haufanikiwi wekeza nguvu kwa mama mtoto wako kuwa Mario tuu, wekeza zaidi kwenye kupiga mashine piga mashine Sana huyo mwanamke mpaka apatwe na dege dege kuna vijana wengi Sana hapo Dar es salaam wamewekeza kwenye kupiga mashine.

Tafta vumbi la kongo umkarabati huyo mama watoto wako, mshahara wake mtagawana 50-50 mawasiliano yatarudi tuu utapigiwa simu masaa 24 Kaka.

Pia akikaa vibaya mchape mimba nyengine ndio kilichobaki hiko mkuu.

NB: Mkuu wa nchii alipohaidi viwanda hamkuelewa viwanda gani, hata kupiga mashine kisawa sawa kunaweza kuwa ni shuguli za uzalishaji kama viwandani tuu so wacha maneno mzee baba piga mashine, fokoa fokoa kabisa hiyo papuchi utapewa mawasiliano ya kutosha.
 
Nimecheka mno Yaani you said it all
 
Duuh pole sana jaribu kujichangamsha hivyo hivyo huku unasaka mahela
 
Pole sana mkuu mambo haya huwa ni mepesi kushaulika lkn ni magumi sana kuyatendea kazi.Kweli mapenzi yanasumbua sana si kwa mwanaume wala wana wake hapo mtu kusiwe na sababu ya upande 1 kumlaum mwingine.

~Tunapitia na tunapita pia mkuu.
Chamsing tafuta kazi,achana na mawasiliano mengine,mjulie hali mtoto na usiache kumkumbuka mtoto.

~Omba sana Mungu mambo yatakaa sawa,hakuna linalo shindikana kwa Mungu,hasa kwake yy aaminiye
nmekupa like yangu umenena vyema hasa hasa kusikiliza mziki mzuri akiwa peke yake ndio huwa nafanya nikiwa stressed b'coz music it make feel so goooooood
 
Pole sana ndugu mtumainie Mungu atakupa furaha tuu. Matatizo yako yanakaribia kufanana na yangu.
Nimepitia changamoto sana nashukuru Mungu kumbe wapo waliokua wanaona matatizo yangu na walinifariji sana kwa hali yangu.
Ila na wewe ujitizame sasa usikute una dhambi kibao halafu utegemee mafanikio. Nasema hivi kwa sababu asilimia kubwa ya matatizo wanayopitia watu yanatokana na matendo yao.
 
Back
Top Bottom