Msaada: Namna ya kurudisha furaha inayopotea

Dah hii ni hatari sana inauma ila hamna namna ni kuwa mkeo hana tena hisia kali za mapenzi kwako na hakuthamini kama ilivyokuwa awali.

Wanawake tunawapenda sana ila pia ni viumbe wagumu sana kuishi nao maana hawanaga misimamo thabiti hata inapotokea mmetoka mbali kimaisha na mlipendana kiukweli mwanzoni. Huwa wanatamaa na kujisahau kirahisi mno na hawanaga utu wala huruma hasa akiamua lake.

Kiufupi tu ni hali ilivyo hapo ni mapenzi yake amehamishia kwa mtu asiyejulikana swala linalopelekea asiwe na hamu ya kukutafuta wala kukujulia hali kama ilivyokuwa awali. Hii hali inatokea sana hata mie imewahi nitokea, najua unavyoumia na kukosa raha ila cha msingi ni kujikaza tu.

Mwanamke akishaanza hizo tabia hafai tena labda aumizwe huko alikopeleka hisia zake ndio atakukumbuka. We cha msingi ni kujibidiisha na mambo ya utaftaji ili uweze kupata pesa na heshima pia kumuondoa akilini ingawa haitakuwa rahisi. Piga kimya fanya mambo mengine usimuwaze kaza roho chukulia poa tu maana hata ukilazimisha kumtafuta utaumia tu yeye hakuwazi.

Hii tabia ya baadhi ya wanawake imenifanya niamini kweli rafiki wa kweli ni pesa tu wazee. Investing in feelings za mapenzi is never paying ni sawa na kucheza biko tu. Pesa haiwezi kukusaliti hata siku moja,pesa huleta heshima, pesa huleta furaha,,,,it takes you to places, buy shit you want,,give you comfort el dinero motherfucker! You name it!!!
Thanx mkuu nimefarijika sana na hii comment yako,Jah bless
Respect
 
Ka mkubwa pole kwanza naomba uelewe tu hiyo ni changamoto kwako na sio wa kwanza kukumbana na changamoto kama hiyo NB: Don't trust the woman even if she die, Jipange kisaikolojia
Sio wanawake wote wabaya na tunatofautiana sana,Kwanza furaha ya kweli unaipata mwenyew hamna mwingine wa kukupa,Amani ya nafsi inatokan na wewe mwenyewe jifunze kutokuweka vitu moyoni hasa vinavyoumiza,Potezea mambo yaumizayo,Penda kuimba tena kwa sauti usijali unasaut mbaya au nzuri,Mziki uwe rafiki yako,Usikae mwenyew mda mrefu tafut marafiki ambao unawaamni n kujaribu kuyajenga maisha katika mwelekeo mwingine ulio sahihi,Ukiendelea kumbembeleza atakudharau na kukuona kuwa huwez ishi bila kumtegemea.SIMAMA KWENYE NAFASI YAKO KAMA MWANAUME,USIANGALIE MACHOZ YALIYOJAA MOYONI ANGALIA UNANINI NA FANYA KAMA HAKUNA LILILOTOKEA.
 
Pole sana mkuu mambo haya huwa ni mepesi kushaulika lkn ni magumi sana kuyatendea kazi.Kweli mapenzi yanasumbua sana si kwa mwanaume wala wana wake hapo mtu kusiwe na sababu ya upande 1 kumlaum mwingine.

~Tunapitia na tunapita pia mkuu.
Chamsing tafuta kazi,achana na mawasiliano mengine,mjulie hali mtoto na usiache kumkumbuka mtoto.

~Omba sana Mungu mambo yatakaa sawa,hakuna linalo shindikana kwa Mungu,hasa kwake yy aaminiye
 
Wakuu salaam,

Kama mada inavyojieleza,

Miaka ya karibuni hasa kuanzia 2015 mwishoni nimekua mtu nisiyekua na furaha na nikiwa na furaha basi ndani ya siku chache huondoka
labda nieleze kinagaubaga jinsi maisha yangu yalivyo.

Wazazi wangu washafariki almost 16 years ago, tangu wakati huo ndugu ambao nilikua nawategemea wakaanza mizinguo so nikaanza kuishi ghetto tangu nipo form 1 hadi namaliza form 4, then nikachaguliwa kuingia advance so kipindi chote nasoma advance likizo zangu karibia zote zikiishia maghettoni kwa masela kwa sababu kule home sikua na watu ambao wa kuwategemea sana.

Ada nilikua nalipiwa tu na msamaria mwema mmoja.Nimemaliza form 6 nikafaulu kwenda chuo na Mungu si athumani nikapata mkopo kwa 90% nikaanza maisha ya chuo pale SUA, baada ya muda nikaamua kutoka hostel nikapanga ghetto maisha yakaendelea.

Wakati huu nikiri kwamba nilikua mtu mwenye furaha muda wote sikua mtu wa mawazo mawazo. Mwaka 2012 nikakutana na mwanamke barabarani pale mjini Moro yupo na mabahasha yake anatafuta kazi nikamwomba namba, nikaanza kumtongoza mtoto akakubali tukawa wapenzi.

Baada ya muda binti kapata ujauzito nikamwambia atoke kwao (kwa mama mdogo wake) nikaishi nae ghetto kwa amani na upendo. Wakati ana mimba akaitwa interview akapiga fresh, akarudi ghetto, maisha yakaendelea ya furaha, amani na upendo, binti kajifungua salama salimini.

Kumbukeni wakati ana ujauzito nilimfungulia biashara ndogo
baada ya mtoto kutimiza kama miezi 4 hivi mama yake akapata kazi kule alikofanya interview tena kwa mshahara mnono zaidi ya ule wa aupatae mwenye degree. Nikauza baadhi ya vitu vyangu mama na mtoto na ndugu yake wakasafiri hadi kituo cha kazi alichopangiwa.

Wakati huo mimi nishamaliza degree yangu nikaingia rasmi kitaa, kama mnavyojua nchi yetu ina changamoto za ajira, hapo ndo suala la kutokua na furaha likaanza. Nikasafiri hadi kwa mama mtoto nikakaa kwa muda then nikaingia mkoa jirani huku huku lake zone kutafuta mishe nikapata nikaanza kazi na nikapanga chumba, mwisho wa siku ikawa mtihani kulipwa basi kazi ikashindikana nikaondoka kurudi kwa mama mtoto.

Nimekaa kwa mama mtoto mwisho wa siku tukashauriane nikasome inshu ya ualimu ili nikimaliza niajiriwe moja kwa moja tusaidiane maisha. Nikaingia kusoma PGDE ile namaliza tu kusubiri ajira akaingia Rais Magufuli na roho yake mbaya akasitisha ajira za walimu hasa wa arts.

Nikaanza mdogo tena na hali ya kukosa furaha na msongo wa mawazo ikaanza upya, nikaona kukaa kwa mwanamke bila kazi ni noma nikaingia mkoa jirani tena kutafuta mishe nikapata chuo kufundisha, nikaanza maisha.

Sasa kitu kinachoniumiza na kutokua na furaha ni huyu mwenzangu yani sasa hivi naona mapenzi yamepungua sana, mawasiliano ni ya shida yani nisipomtafutaga hewani basi hana muda mimi japo ananisaidia kwa baadhi ya mambo manake mwenzangu ana kipato cha juu sana, lakini naona kunipa ile heshima na kunijali kama mzazi mwenzake haipo.

Nampenda ila anavyonipotezeaga nahisi kutengwa na walimwengu wote,
tangu mwaka Jana sina furaha na nakuwa na msongo wa mawazo ,nilitegemea huyu mwenzangu awe mtu wa kunitia moyo kunifariji katika mihangaiko yangu lakini hilo halipo hata kama ananisaidia lakini hanipi ile heshima yangu kama mwanaume hata kama sina hela naona kwangu ni sawa na bure.

Daily Mimi ndo nahangaika kumtafuta hewani, nilitembelea kwake suala la unyumba likawa la kusua sua hadi nikaanza kuwakumbuka michepuko yangu.

Sasa wakuu naombeni ushauri niishi style gani ili nisiweze kupoteza furaha yangu na nisiwe na muda tena wa kumuwaza waza huyu mwanamke na hata ile hali ya kumtafuta tafuta hewani ipotee.

Nifanyaje nisaidieni manake kila siku naona mimi ndo nahangaika juu yake halafu mwenzangu anaonekana hajali mawasiliano yangu .

Msaada tafadhali.
Pole sana
Sasa kama huna stress za kupoteza wazazi iweje huyo mwanamke anakupasua kichwa ????

90% Mwanamke siku zote anapenda mwanaume mwenye hela au aliye na maisha mazuri sasa ukiona hivyo ujue amekuchoka kozi unamwelemea

Ulifanya mistake kuwa na mwanamke kabla ya kuwa na kazi au kumaliza chuo hilo kosa linawapotezea dira vijana wengi sana

Ulikosa mshauri juu ya masuala ya mahusiano, hii wengi inawasumbua maana inatakiwa uwe na mshauri juu ya masuala ya kifedha, kiimani, mahusiano nk angekuambia usiwe na mwanamke kabla ya kuwa na ajira au nyumba nk

Sasa kinachokupotezea furaha sio kwamba hukijui kama ulivyoandika ktk heading yako, unakijua ila hujui ufanyeje,

Sasa furaha huwa inakuwepo kwa sababu ya hali fulani, cha msingi hapo fanya yafuatayo:-

Punguza mawasiliano kwa huyo mwanamke asione umempenda sana

Usimwegemee kwenye ishu za hela fight kivyako

Tafuta kazi ya maana au kazi tu nzuri halafu jipange vzr kimaisha huku ukimvutia kasi

Acha kuwa mbali na ndugu zako hata kama hawanatime na wewe unadhani watakuzikaje au nani atakuzika na kukusaidia ukipata shida kubwa na huyo mwanamke hana time na wewe ?

Fanya hayo utaona matokeo
 
Dah hii ni hatari sana inauma ila hamna namna ni kuwa mkeo hana tena hisia kali za mapenzi kwako na hakuthamini kama ilivyokuwa awali.

Wanawake tunawapenda sana ila pia ni viumbe wagumu sana kuishi nao maana hawanaga misimamo thabiti hata inapotokea mmetoka mbali kimaisha na mlipendana kiukweli mwanzoni. Huwa wanatamaa na kujisahau kirahisi mno na hawanaga utu wala huruma hasa akiamua lake.

Kiufupi tu ni hali ilivyo hapo ni mapenzi yake amehamishia kwa mtu asiyejulikana swala linalopelekea asiwe na hamu ya kukutafuta wala kukujulia hali kama ilivyokuwa awali. Hii hali inatokea sana hata mie imewahi nitokea, najua unavyoumia na kukosa raha ila cha msingi ni kujikaza tu.

Mwanamke akishaanza hizo tabia hafai tena labda aumizwe huko alikopeleka hisia zake ndio atakukumbuka. We cha msingi ni kujibidiisha na mambo ya utaftaji ili uweze kupata pesa na heshima pia kumuondoa akilini ingawa haitakuwa rahisi. Piga kimya fanya mambo mengine usimuwaze kaza roho chukulia poa tu maana hata ukilazimisha kumtafuta utaumia tu yeye hakuwazi.

Hii tabia ya baadhi ya wanawake imenifanya niamini kweli rafiki wa kweli ni pesa tu wazee. Investing in feelings za mapenzi is never paying ni sawa na kucheza biko tu. Pesa haiwezi kukusaliti hata siku moja,pesa huleta heshima, pesa huleta furaha,,,,it takes you to places, buy shit you want,,give you comfort el dinero motherfucker! You name it!!!
Pole rafiki
 
Sio wanawake wote wabaya na tunatofautiana sana,Kwanza furaha ya kweli unaipata mwenyew hamna mwingine wa kukupa,Amani ya nafsi inatokan na wewe mwenyewe jifunze kutokuweka vitu moyoni hasa vinavyoumiza,Potezea mambo yaumizayo,Penda kuimba tena kwa sauti usijali unasaut mbaya au nzuri,Mziki uwe rafiki yako,Usikae mwenyew mda mrefu tafut marafiki ambao unawaamni n kujaribu kuyajenga maisha katika mwelekeo mwingine ulio sahihi,Ukiendelea kumbembeleza atakudharau na kukuona kuwa huwez ishi bila kumtegemea.SIMAMA KWENYE NAFASI YAKO KAMA MWANAUME,USIANGALIE MACHOZ YALIYOJAA MOYONI ANGALIA UNANINI NA FANYA KAMA HAKUNA LILILOTOKEA.
Mkuu asante sana nimekuelewa sana
 
Pole sana
Sasa kama huna stress za kupoteza wazazi iweje huyo mwanamke anakupasua kichwa ????

90% Mwanamke siku zote anapenda mwanaume mwenye hela au aliye na maisha mazuri sasa ukiona hivyo ujue amekuchoka kozi unamwelemea

Ulifanya mistake kuwa na mwanamke kabla ya kuwa na kazi au kumaliza chuo hilo kosa linawapotezea dira vijana wengi sana

Ulikosa mshauri juu ya masuala ya mahusiano, hii wengi inawasumbua maana inatakiwa uwe na mshauri juu ya masuala ya kifedha, kiimani, mahusiano nk angekuambia usiwe na mwanamke kabla ya kuwa na ajira au nyumba nk

Sasa kinachokupotezea furaha sio kwamba hukijui kama ulivyoandika ktk heading yako, unakijua ila hujui ufanyeje,

Sasa furaha huwa inakuwepo kwa sababu ya hali fulani, cha msingi hapo fanya yafuatayo:-

Punguza mawasiliano kwa huyo mwanamke asione umempenda sana

Usimwegemee kwenye ishu za hela fight kivyako

Tafuta kazi ya maana au kazi tu nzuri halafu jipange vzr kimaisha huku ukimvutia kasi

Acha kuwa mbali na ndugu zako hata kama hawanatime na wewe unadhani watakuzikaje au nani atakuzika na kukusaidia ukipata shida kubwa na huyo mwanamke hana time na wewe ?

Fanya hayo utaona matokeo
Asante mkuu ushauri nzuri ntaufanyia kazi
 
Dah...Asikudanganye mtu..suala la furaha ni la kisayansi mno...ni pamoja na vitu tunavyokula..Asubuhi piga maboga yako mengiiii ukishushia na kahawa nyeusi...mchana kula ugali wa dona, mbogamboga na matunda kwa wingiii tu...kasha jioni kula uyoga wako ukishushia na mtindi...Furaha itakuja yenyewe tu....
 
Pole sana mkuu kwanza huyo mwanamke achana nae kabsa mpgie kuhsu mtoto tu usijishushe sana kwake ushajua ni mtu wa aina gan yuko after money zaid hana utu wew focus kwenye kutafuta pesa hustle hard jichanganye na watu wenye mawazo chanya enjoy life we ukipata pesa atajileta tu na usimrudie lea mtoto tu
 
Ushauri wangu utakuwa mmbaya!yaani sio wakujenga!lakini usilazimishe mapenzi!
 
Wakuu salaam,

Kama mada inavyojieleza,

Miaka ya karibuni hasa kuanzia 2015 mwishoni nimekua mtu nisiyekua na furaha na nikiwa na furaha basi ndani ya siku chache huondoka
labda nieleze kinagaubaga jinsi maisha yangu yalivyo.

Wazazi wangu washafariki almost 16 years ago, tangu wakati huo ndugu ambao nilikua nawategemea wakaanza mizinguo so nikaanza kuishi ghetto tangu nipo form 1 hadi namaliza form 4, then nikachaguliwa kuingia advance so kipindi chote nasoma advance likizo zangu karibia zote zikiishia maghettoni kwa masela kwa sababu kule home sikua na watu ambao wa kuwategemea sana.

Ada nilikua nalipiwa tu na msamaria mwema mmoja.Nimemaliza form 6 nikafaulu kwenda chuo na Mungu si athumani nikapata mkopo kwa 90% nikaanza maisha ya chuo pale SUA, baada ya muda nikaamua kutoka hostel nikapanga ghetto maisha yakaendelea.

Wakati huu nikiri kwamba nilikua mtu mwenye furaha muda wote sikua mtu wa mawazo mawazo. Mwaka 2012 nikakutana na mwanamke barabarani pale mjini Moro yupo na mabahasha yake anatafuta kazi nikamwomba namba, nikaanza kumtongoza mtoto akakubali tukawa wapenzi.

Baada ya muda binti kapata ujauzito nikamwambia atoke kwao (kwa mama mdogo wake) nikaishi nae ghetto kwa amani na upendo. Wakati ana mimba akaitwa interview akapiga fresh, akarudi ghetto, maisha yakaendelea ya furaha, amani na upendo, binti kajifungua salama salimini.

Kumbukeni wakati ana ujauzito nilimfungulia biashara ndogo
baada ya mtoto kutimiza kama miezi 4 hivi mama yake akapata kazi kule alikofanya interview tena kwa mshahara mnono zaidi ya ule wa aupatae mwenye degree. Nikauza baadhi ya vitu vyangu mama na mtoto na ndugu yake wakasafiri hadi kituo cha kazi alichopangiwa.

Wakati huo mimi nishamaliza degree yangu nikaingia rasmi kitaa, kama mnavyojua nchi yetu ina changamoto za ajira, hapo ndo suala la kutokua na furaha likaanza. Nikasafiri hadi kwa mama mtoto nikakaa kwa muda then nikaingia mkoa jirani huku huku lake zone kutafuta mishe nikapata nikaanza kazi na nikapanga chumba, mwisho wa siku ikawa mtihani kulipwa basi kazi ikashindikana nikaondoka kurudi kwa mama mtoto.

Nimekaa kwa mama mtoto mwisho wa siku tukashauriane nikasome inshu ya ualimu ili nikimaliza niajiriwe moja kwa moja tusaidiane maisha. Nikaingia kusoma PGDE ile namaliza tu kusubiri ajira akaingia Rais Magufuli na roho yake mbaya akasitisha ajira za walimu hasa wa arts.

Nikaanza mdogo tena na hali ya kukosa furaha na msongo wa mawazo ikaanza upya, nikaona kukaa kwa mwanamke bila kazi ni noma nikaingia mkoa jirani tena kutafuta mishe nikapata chuo kufundisha, nikaanza maisha.

Sasa kitu kinachoniumiza na kutokua na furaha ni huyu mwenzangu yani sasa hivi naona mapenzi yamepungua sana, mawasiliano ni ya shida yani nisipomtafutaga hewani basi hana muda mimi japo ananisaidia kwa baadhi ya mambo manake mwenzangu ana kipato cha juu sana, lakini naona kunipa ile heshima na kunijali kama mzazi mwenzake haipo.

Nampenda ila anavyonipotezeaga nahisi kutengwa na walimwengu wote,
tangu mwaka Jana sina furaha na nakuwa na msongo wa mawazo ,nilitegemea huyu mwenzangu awe mtu wa kunitia moyo kunifariji katika mihangaiko yangu lakini hilo halipo hata kama ananisaidia lakini hanipi ile heshima yangu kama mwanaume hata kama sina hela naona kwangu ni sawa na bure.

Daily Mimi ndo nahangaika kumtafuta hewani, nilitembelea kwake suala la unyumba likawa la kusua sua hadi nikaanza kuwakumbuka michepuko yangu.

Sasa wakuu naombeni ushauri niishi style gani ili nisiweze kupoteza furaha yangu na nisiwe na muda tena wa kumuwaza waza huyu mwanamke na hata ile hali ya kumtafuta tafuta hewani ipotee.

Nifanyaje nisaidieni manake kila siku naona mimi ndo nahangaika juu yake halafu mwenzangu anaonekana hajali mawasiliano yangu .

Msaada tafadhali.
Mkumbuke Ayubu , we bado hujapata shida. Kumbuka kila jaribu lina mlango wa kutokea, cha msingi usitafute ushauri kila mahali, chagua mahali pa kushauriwa na unaweza rudisha furaha yako.
 
Pole sana ndugu,hizo ni changamoto tu za maisha,vumilia.

Kama upendo wake umepungua lazima kutakuwa na sababu cha msingi ni kujua hiyo sababu then chukua hatua kulingana na hiyo sababu.

Kumbuka ukitegemea furaha toka kwa mtu mwingine yawezekana mpk unaingia kaburini unaweza usipate furaha, furaha lazima itoke ndani yako,tafuta namna ya kujifurahisha pasipo kumtegemea mtu.

Kila la kheri.
Ni kweli furaha ya kweli hutoka kwa mtu mwenyewe kwa msaada wa Mungu. Ila kama vipi apate balimi mbili kima siku furaha yake itarudi taratibu
 
Wakuu salaam,

Kama mada inavyojieleza,

Miaka ya karibuni hasa kuanzia 2015 mwishoni nimekua mtu nisiyekua na furaha na nikiwa na furaha basi ndani ya siku chache huondoka
labda nieleze kinagaubaga jinsi maisha yangu yalivyo.

Wazazi wangu washafariki almost 16 years ago, tangu wakati huo ndugu ambao nilikua nawategemea wakaanza mizinguo so nikaanza kuishi ghetto tangu nipo form 1 hadi namaliza form 4, then nikachaguliwa kuingia advance so kipindi chote nasoma advance likizo zangu karibia zote zikiishia maghettoni kwa masela kwa sababu kule home sikua na watu ambao wa kuwategemea sana.

Ada nilikua nalipiwa tu na msamaria mwema mmoja.Nimemaliza form 6 nikafaulu kwenda chuo na Mungu si athumani nikapata mkopo kwa 90% nikaanza maisha ya chuo pale SUA, baada ya muda nikaamua kutoka hostel nikapanga ghetto maisha yakaendelea.

Wakati huu nikiri kwamba nilikua mtu mwenye furaha muda wote sikua mtu wa mawazo mawazo. Mwaka 2012 nikakutana na mwanamke barabarani pale mjini Moro yupo na mabahasha yake anatafuta kazi nikamwomba namba, nikaanza kumtongoza mtoto akakubali tukawa wapenzi.

Baada ya muda binti kapata ujauzito nikamwambia atoke kwao (kwa mama mdogo wake) nikaishi nae ghetto kwa amani na upendo. Wakati ana mimba akaitwa interview akapiga fresh, akarudi ghetto, maisha yakaendelea ya furaha, amani na upendo, binti kajifungua salama salimini.

Kumbukeni wakati ana ujauzito nilimfungulia biashara ndogo
baada ya mtoto kutimiza kama miezi 4 hivi mama yake akapata kazi kule alikofanya interview tena kwa mshahara mnono zaidi ya ule wa aupatae mwenye degree. Nikauza baadhi ya vitu vyangu mama na mtoto na ndugu yake wakasafiri hadi kituo cha kazi alichopangiwa.

Wakati huo mimi nishamaliza degree yangu nikaingia rasmi kitaa, kama mnavyojua nchi yetu ina changamoto za ajira, hapo ndo suala la kutokua na furaha likaanza. Nikasafiri hadi kwa mama mtoto nikakaa kwa muda then nikaingia mkoa jirani huku huku lake zone kutafuta mishe nikapata nikaanza kazi na nikapanga chumba, mwisho wa siku ikawa mtihani kulipwa basi kazi ikashindikana nikaondoka kurudi kwa mama mtoto.

Nimekaa kwa mama mtoto mwisho wa siku tukashauriane nikasome inshu ya ualimu ili nikimaliza niajiriwe moja kwa moja tusaidiane maisha. Nikaingia kusoma PGDE ile namaliza tu kusubiri ajira akaingia Rais Magufuli na roho yake mbaya akasitisha ajira za walimu hasa wa arts.

Nikaanza mdogo tena na hali ya kukosa furaha na msongo wa mawazo ikaanza upya, nikaona kukaa kwa mwanamke bila kazi ni noma nikaingia mkoa jirani tena kutafuta mishe nikapata chuo kufundisha, nikaanza maisha.

Sasa kitu kinachoniumiza na kutokua na furaha ni huyu mwenzangu yani sasa hivi naona mapenzi yamepungua sana, mawasiliano ni ya shida yani nisipomtafutaga hewani basi hana muda mimi japo ananisaidia kwa baadhi ya mambo manake mwenzangu ana kipato cha juu sana, lakini naona kunipa ile heshima na kunijali kama mzazi mwenzake haipo.

Nampenda ila anavyonipotezeaga nahisi kutengwa na walimwengu wote,
tangu mwaka Jana sina furaha na nakuwa na msongo wa mawazo ,nilitegemea huyu mwenzangu awe mtu wa kunitia moyo kunifariji katika mihangaiko yangu lakini hilo halipo hata kama ananisaidia lakini hanipi ile heshima yangu kama mwanaume hata kama sina hela naona kwangu ni sawa na bure.

Daily Mimi ndo nahangaika kumtafuta hewani, nilitembelea kwake suala la unyumba likawa la kusua sua hadi nikaanza kuwakumbuka michepuko yangu.

Sasa wakuu naombeni ushauri niishi style gani ili nisiweze kupoteza furaha yangu na nisiwe na muda tena wa kumuwaza waza huyu mwanamke na hata ile hali ya kumtafuta tafuta hewani ipotee.

Nifanyaje nisaidieni manake kila siku naona mimi ndo nahangaika juu yake halafu mwenzangu anaonekana hajali mawasiliano yangu .

Msaada tafadhali.
Ukifanikiwa kurudisha furaha yako nipe kitini ulichotumia nami nirudishe yangu!
 
Kwanza mnakosa mawasiliano hilo ndiyo chanzo kikubwa cha kutopata furaha... namaanisha mawasiliano hamkai mkajadiliana hisia zenu mipanho yenu .. yani mpo mpo tu..

Mpe space mwache ajitafakari tena bila wewe simaanishi muachane noo punguza kumpigia pigia simu labda unamkera...

Haoni umuhimu wake kwenye maisha yake upo kama kiraka na si swala la pesa zaidi pesa huja panapokuwa na amani .
Pia ana Mashaka mashaka na wewe hakuelewi na haelewi what is next kunamfanya yeye kuwekeza nguvu na upendo wake kwa vitu vingine kama mtoto na nk..

Kama unampenda fanyia kazi hivyo
 
Back
Top Bottom