Msaada namna ya kupata internet kupitia decoder!

Msaada namna ya kupata internet kupitia decoder!

msokoto

Member
Joined
Jul 23, 2017
Posts
17
Reaction score
3
Naomba kusaidiwa mwenye kujua namna ya kupata internet kupitia decoder (king'amuzi) chochote kile iwe dstv/azam anisaidie maana nipo maeneo remote sana hata mtandao wa 2g ni shida yaan ni sms, kupiga na kupokea simu tu! Naona decoder ya DSTV HD Kuna port ya ethernet lakin ipo dormant!
Nawasilisha mwenye kujua!
 
Haiwezekani, dish/decoder za TV hazijatengenezwa kurusha data zinapokea tu. Ile port ni ya kupokea mtandao.
 
zipo dikoda maalumu za internet mkuu, wanaita satelite internet unaweza ukaangalia hizo service sema bei zao za vifurushi ni ghali sana.

kuna jamaa wanaclaim wataanza kutoa internet bure muda si mrefu kwa ajili ya Africa na Asia wanajiita quika wacheki hapa

Quika | Introducing the world's first free satellite internet in Africa, Iraq and Afghanistan | Launching 2018

pengine inaweza ikakufaa

pia upo remote sana hata halotel na smart hakuna? unatumia simu gani?
Huku nipo remote saaana! Yaani ndo airtel wameweka mnara unaserve huduma za sms, kupiga na kupokea simu hakuna internet ya maana!
 
zipo dikoda maalumu za internet mkuu, wanaita satelite internet unaweza ukaangalia hizo service sema bei zao za vifurushi ni ghali sana.

kuna jamaa wanaclaim wataanza kutoa internet bure muda si mrefu kwa ajili ya Africa na Asia wanajiita quika wacheki hapa

Quika | Introducing the world's first free satellite internet in Africa, Iraq and Afghanistan | Launching 2018

pengine inaweza ikakufaa

pia upo remote sana hata halotel na smart hakuna? unatumia simu gani?
Smart huku hatuijui halotel na voda mpaka upande juu ya mti tigo ni zero kabisa!
 
Smart huku hatuijui halotel na voda mpaka upande juu ya mti tigo ni zero kabisa!
smart ipo maeneo mengi sema watu hawana kifaa cha quad band cha kutestia.

tafuta simu nzuri yenye quadband kisha searxh network ikiwa 3g only ili uone kama kuna mtandao una 3g hapo ulipo.
 
Back
Top Bottom