chuma cha reli
JF-Expert Member
- Jul 2, 2012
- 2,764
- 2,568
Kwani uko mtaani kwenu hakuna vile vigest bubu vya show time buku buku, mie nakumbuka enzi zetu za utineja kitaani kulikuwa na gesti ya jero show time ndio nilikuwa napeleka kuwachinja mabeki tatu wa watu
Au kama vipi omba geto kwa mshikaji wako mwambie kuna hadithi unataka umuadithie akifika mwambie unasikia baridi unataka koti chapa mtu ,hapo itakuwa mukide
Sent using Jamii Forums mobile app
Au kama vipi omba geto kwa mshikaji wako mwambie kuna hadithi unataka umuadithie akifika mwambie unasikia baridi unataka koti chapa mtu ,hapo itakuwa mukide
Sent using Jamii Forums mobile app