Msaada: Namna ya kulipia page ya kibiashara Facebook na Instagram

Tufundishane nawezaje pata mastercard TIGOPESA na airtel money
Piga menyu ya airtel money then chagua mastercard, tengeneza card, weka namba ya siri utatumiwa link yenye taarifa ya virtual card yako...fungua link utapata picha ya card, screen shot hiyo picha na uhifadhi sehemu salama ...
 
Back
Top Bottom