TEACHER FRANK MSIGWA
JF-Expert Member
- Oct 19, 2016
- 537
- 445
Wakuu naombeni mnipe msaada namna ya kutengeneza blogspot coz nimekuwa nikikaa tu bila kazi na kupoteza mda mwingi kwenye mitandao ya kijamii pasipo faida yoyote.nimekuwa nikipata information mbalimbali na habari muhimu mara kwa mara but sehemu ya kuziweka ndo sina..nishawahi jaribu kutengeneza blogspot kupitia google but nilishindwa kuongezea vikolombwezo muhimu kuipendezesha and kilichonikatisha tamaa zaidi nilikuwa hata niki i search kwenye google kwa jina la blog yangu ikawa haionekani..nipeni maufundi jamani