Msaada namna ya kufika Spain

Msaada namna ya kufika Spain

Nope mkuu siko huko asee ...I mean, za boksi kama US?
Nadhan hakun coz atavijana wao wamejazana France,Germany+Uk wanabeba box kwao spain hakukalin hakuna ajira na ndo nchi pekee ya western Europe yenye kiwango kikubwa cha unemployment.....Vp unatak uende bibie
 
Kama upo Dar nenda airport, panda ndege inayokwenda, baada ya masaa nane hivi nadhani utakuwa umefika Spain. Hapa nime assume ticket na visa unavyo
 
Nacho ipendea Spain ni wabanguzi in the Maximaum kiwango cha standard Gauge, yaani kutemewa mate ukiwa njiani ww chukulia poa, ukizingua wanakudeport
 
Andaa pesa tafta visa kata ticket uende unapotaka
 
Nacho ipendea Spain ni wabanguzi in the Maximaum kiwango cha standard Gauge, yaani kutemewa mate ukiwa njiani ww chukulia poa, ukizingua wanakudeport

Mkuu mbona kuna member hapo juu Waspaniola hawana ubaguzi kabisa au sijaelewa vizuri?
 
Yaani wamesema hakuna ubaguzi wa kiwango hicho!
 
Nacho ipendea Spain ni wabanguzi in the Maximaum kiwango cha standard Gauge, yaani kutemewa mate ukiwa njiani ww chukulia poa, ukizingua wanakudeport
co kwa kiwango icho mkuu....wale wapo bien san kuhus racial..... ckatai kua ubaguz haupo ila ni mdg compared to Uk,German...labda kwasababu black Spain wapo wachache
 
Sasa kama una mtu tayari aliye huko, hapa unauliza nini?
Akili yako ndo imeishia hapo kufikiria Mkuu?
Iko hivi unapotafuta taarifa sahihi hubanwi kutegemea chanzo kimoja, na wakati mwingine unaweza kuulizana taarifa zile zile kwenye chanzo kimoja kwa nyakati tofauti hata namna au njia tofauti
 
Unatetea ujinger.

Utapata taarifa gani nzuri tofauti na za ndugu yako tena aliyeko huko unakokuulizia???

Nchi imejaa mijinger mingi
 
  • Thanks
Reactions: Auz
Unatetea ujinger.

Utapata taarifa gani nzuri tofauti na za ndugu yako tena aliyeko huko unakokuulizia???

Nchi imejaa mijinger mingi
Mkuu 'ujinger'ni kitu gani?

Kumbe mkuu taarifa sahihi inatoka Kwa ndugu Pekee?
Asante Kwa maoni yako
 
Unatetea ujinger.

Utapata taarifa gani nzuri tofauti na za ndugu yako tena aliyeko huko unakokuulizia???

Nchi imejaa mijinger mingi
Ahsante ndugu yangu, halafu tunalalamika tukiambiwa IQ zetu ndogo!
 
Ndugu, ukitaka kuja España achana na Uhamiaji harm toka Libya au Morocco. NI hatari sana na Wengi wanakufa. Masharti ya Visa Spain ni Yale Yale ya Moja wa Ulaya, mana uwe na sababu ya msingi wa safari, uwe na mwenyeji, pesa ya kutosha mfukoni, na kadhalika. Watanzania wapo ingawa si wengi. Inabidi ujifunze lugha ya nchi ukitaka kuishi kwao vizuri.

Nataka pia kusema mawili matatu kuhusu comments nilizoziona hapa: kwanza Spain si nchi maskini. Ni kweli wana unemployment kubwa ukilinganisha nchi nyingine za Ulaya, lakini sekta zote muhimu kama miundumbinu, benki, afya, elimu, nk ni za hali ya juu sana. Angalia Wikipedia kuhusu uchumi wa Spain:

The economy of Spain is the world's fourteenth-largest by nominal GDP, and it is also one of the largest in the world by purchasing power parity. The country is a member of the European Union, the Organization for Economic Co-operation and Development, and the World Trade Organization. Spain has a capitalist mixed economy.
The Spanish economy is the fifth-largest in Europe behind Germany, United Kingdom, Italy and France; and the fourth-largest in the Euro zone, based on nominal GDP statistics. In 2012, Spain was the twelfth-largest exporter in the world and the sixteenth-largest importer.
Spain is listed 25th in UN Human Development Index and 28th in GDP per capita by the World Bank, thus it is classified as a high income economy and among the countries of very high human development.[17] According to The Economist, Spain has the world's 10th highest quality of life.[18]

Kwa ufupi wastaafu wengi wa Ulaya wanaishi Spain sababu ya maisha rahisi, sekta ya afya nzuri, bei na Bora ya vyakula, na uzuri wa nchi yenyewe. Viva España.
 
Back
Top Bottom