Msaada namna ya kufika Spain

Msaada namna ya kufika Spain

quest quedo protario dacast mess
MHhn!! wabongo bwan...kama unatak kuzamia bila papers fany safar mpaka Morocco then spain ina tumikoa tuwili ndani ya Morocco (overseas provinces) Melilla & ceuta kaz iliopo pale ni kupanfda border fensi then unazama ndani ya ceuta(spain) unakuw migrant ko migrant camp inakuhus ukiw Spain (spain mara nying hawan tabia ya kurudsha migrant)...intake ni njia salam coz migrant wanavushw baharin na Spain government kuto Ceuta ad mainland (ukiwa ceuta kwa macho unaiona Spain mainland kwa mbal....ila hii njia wanaitumia watu wa west afrika kwa sababu ni karbu....from Kolomije to morocco it will cost you alot of money&time compared to visa&ticket cost....Nawasilsha
Asante mkuu
 
Huko English haipandi kabisa. Madereva taxi wengi mademu. Ila ni very friendly people
😂😂😂😂😂 kipind cha nyuma nilkuw najua kua kila mzungu anachapa kingereza japo ana lugha yake...asante YouTube ikanionyesha broken zao kam zetu tuu.......cjawai fika Spain (kiujumla Europe, America&Asia) ila kwa tafit zangu spain ni nchi pili dunian baada ya France kunemaswala(romantic love) ya madavidav...Spanish girl hawaonag shda kukuapproach kdume kam amekupenda ue white au black..Racial segregation ipo kw kiwango cha chin san...tatzo kubw spain ni massive unemployment ukimchangany na ndug yake Portugal
 
Sahihi mkuu. Kuna watoto wazuri sana kule. Warembo haswa. Hawana maringo kabisa hata ubaguzi sikuwahi kuuona. Nikipata fursa ya kuishi ulaya nitachagua Spain. Very friendly wale jamaa
 
Asante mkuu
Asante mkuu
kwann uctumie legal ways coz illegal ways znaatarsha maisha kumbuka kunakuvuk Saharan desert kunakutekwa....af kam co mzoefu wa kutok nje ya kolomije nashaur ungeanza na nchi za Africa ususan za SADC zeny uchum mzur kam south A Namibia,Botswana, Angola, (Mauritius &Seychelles ni island kufika mpaka ndege au boat)
 
Sahihi mkuu. Kuna watoto wazuri sana kule. Warembo haswa. Hawana maringo kabisa hata ubaguzi sikuwahi kuuona. Nikipata fursa ya kuishi ulaya nitachagua Spain. Very friendly wale jamaa
Nawashuhudiaga kene kideo spanish girls wazur balaa....af wana rangi fulan hiv tofaut na Wazung wengne inaelkea kene ubrown iv
 
Nawashuhudiaga kene kideo spanish girls wazur balaa....af wana rangi fulan hiv tofaut na Wazung wengne inaelkea kene ubrown iv
Kabisa mzee baba. Halafu inaonyesha unawahusudu sana hadi umechukua na jina lao
 
kwann uctumie legal ways coz illegal ways znaatarsha maisha kumbuka kunakuvuk Saharan desert kunakutekwa....af kam co mzoefu wa kutok nje ya kolomije nashaur ungeanza na nchi za Africa ususan za SADC zeny uchum mzur kam south A Namibia,Botswana, Angola, (Mauritius &Seychelles ni island kufika mpaka ndege au boat)
Asante mkuu

Kwa legal ways unaweza nipatia some tips
 
Kabisa mzee baba. Halafu inaonyesha unawahusudu sana hadi umechukua na jina lao
Umejuaje mkuu nawkubal Sana coz wamebarkiw misambwanda,mishape kam miss bantu sura dah!! wananiuaga kipsycholigia(kwa nnavo ona nenda ulay nzima utowakuta wazungu wenye shape kam miss bantu+beautiful faces zaid ya spain+Portugal....
 
Sijui chochote MKUU Ila nakushauri badala ya kuzamia fuata taratibu za kihalali kwani utakuwa umeepuka mengi sana MABAYA.......by the way Kama ukifika Hispania wasalimu sana wachezaji Wa Madrid FC hata Kama msimu huu wapo vibaya , Ila ungeuliza namna ya kufika kitayawa, kwedihwahwala, kwedikwazu, kwedizinga, Wangama, nyabula, mlanda, LUHOTA, Na ilula ningekuelekeza mpaka mabalozi Wa hizo sehemu. Uwe Na Safari njema KIONGOZI wangu.
 
Thanks Mkuu
 
Asante mkuu

Kwa legal ways unaweza nipatia some tips
MHhn!! me Sio mwenyeji sana upande wa kuomba Visa ila kinachotakiw ni valid passport bank statement na maelezo yako binafsi....Tusubiri wajuvi zaid kweny upande wa visa qualifications
 
kipind cha nyuma nilkuw najua kua kila mzungu anachapa kingereza japo ana lugha yake...asante YouTube ikanionyesha broken zao kam zetu tuu.......cjawai fika Spain (kiujumla Europe, America&Asia) ila kwa tafit zangu spain ni nchi pili dunian baada ya France kunemaswala(romantic love) ya madavidav...Spanish girl hawaonag shda kukuapproach kdume kam amekupenda ue white au black..Racial segregation ipo kw kiwango cha chin san...tatzo kubw spain ni massive unemployment ukimchangany na ndug yake Portugal
Hata kazi za kishenzi hamna?
 
Wakuu salaam

Naomba wanaofahamu yote yanayohitajika kwenda kuishi Spain

Note:Sijawahi tembelea nchi yoyote nje ya Tanzania
Spain ni Masikini sana vijana wengi wana maisha magumu labda uwe na special issue
 
Kama utasafiri usisahau kuleta mrejesho mkuu,
Binafsi kama ningepata fursa ya kujifunza lugha ya kigeni ningejifunza kihispaniola, nakihusudu mno
 
Back
Top Bottom