Msaada namna ya kufika Spain

Msaada namna ya kufika Spain

Spain ukitaka mji mzuri kuishi nenda Barcelona, maisha ni simple na rahisi kama bongo tu. Ila mji mkuu Madrid usinuse, ni jiji la kitajiri na maisha ni ghali sana.

Kufika unaweza kwenda direct Spain, au ukaenda mpaka Tunisia au Morocco halafu ukavuka maji.

¡Bueno suerte con eso Señor!
 
Kuzamia mkuu
Anza kwa kwenda Morocco, then tafuta mchongo wa kufika Spain...

Wazamiaji wengi wanapitia Morocco kwa kukatiza bahari na majahazi...

But your chances ya kufika huko kwa njia hii ni less than 5%, kuna mawili utaishia kumezwa na bahari au kuswekwa lupango
 
Najiuliza wahispania walifanya kosa gani mpaka wakawa watu wa kudharauliwa hivi na 'ki-nchi' kama US (wakati huo) na 'vinchi vingine' vya ulaya (wakati huu)...!?
 
MHhn!! wabongo bwan...kama unatak kuzamia bila papers fany safar mpaka Morocco then spain ina tumikoa tuwili ndani ya Morocco (overseas provinces) Melilla & ceuta kaz iliopo pale ni kupanfda border fensi then unazama ndani ya ceuta(spain) unakuw migrant ko migrant camp inakuhus ukiw Spain (spain mara nying hawan tabia ya kurudsha migrant)...intake ni njia salam coz migrant wanavushw baharin na Spain government kuto Ceuta ad mainland (ukiwa ceuta kwa macho unaiona Spain mainland kwa mbal....ila hii njia wanaitumia watu wa west afrika kwa sababu ni karbu....from Kolomije to morocco it will cost you alot of money&time compared to visa&ticket cost....Nawasilsha
 
Spain ukitaka mji mzuri kuishi nenda Barcelona, maisha ni simple na rahisi kama bongo tu. Ila mji mkuu Madrid usinuse, ni jiji la kitajiri na maisha ni ghali sana.

Kufika unaweza kwenda direct Spain, au ukaenda mpaka Tunisia au Morocco halafu ukavuka maji.

¡Bueno suerte con eso Señor!
Mhhh!
Muy bien
Usted es bueno por eso, ¿de berda?
 
Back
Top Bottom