Msaada namna ya kufika Spain

Msaada namna ya kufika Spain

carlkate

Member
Joined
Oct 8, 2018
Posts
32
Reaction score
31
Wakuu salaam

Naomba wanaofahamu yote yanayohitajika kwenda kuishi Spain

Note:Sijawahi tembelea nchi yoyote nje ya Tanzania
 
Sasa huu ndio msaada au mimi ndio sijaelewa?
Hapana Kaka, nilikua najaribu kumjibu huyo mchangiaji namba moja.
Jamaa kaandika uzi unaeleweka lakini mchangiaji anauliza kwanini anataka kwenda Spain!?
 
Unaweza kwenda nchi yoyote unayoipenda ukiweza kutimiza vigezo na masharti waliyoweka kwa wageni. Pitia tovuti zao, au ofisi za balozi zao hapa Tanzania utapata maelekezo.
 
Back
Top Bottom