Msaada: Namna ya kuendesha duka vizuri

Msaada: Namna ya kuendesha duka vizuri

Hapo unaweza ukatumia computer software itakayokua na database kwa ajili ya kurekod bidhaa zilizopo,zilizouzwa(inarekod na mapato baada ya kuuzwa bidhaa hizo) pia inaonesha bidhaa zilizobaki.Faida ya software hiyo inakua na user accounts mbili ambazo ni ya wewe mmiliki kwa ajili ya kuangalizia mapato na pia akaunt ya muuzaj ambae anakua anarekod mauzo tu bila kujua kwamba ww utakuja kuangalia kilichouzwa na mapato yaliyopatikana,na mie natumia program hii ktk biashara zangu kwa kweli siibiwi.
Ukihitji program hii nambie nikupe namba za jamaa anaetengeneza.
haya mkuu but cost zinagonga ngap kwa harakaharaka
kuikamilisha hiyo database sftwr?
 
kama duka lako ni kubwa na unamtaji wa kutosha unaweza funga cctv ambazo unaweza kuangalia biashara yako hata ukiwa mbali kupitia internet ,inaweza saidia kugungua wizi mapema na kuziba mianya, bei ni kuanzia 1M na kuendelea ukihitaji ni pm unipe namba yako nitakuunganisha na fundi
 
Hongera sana na pia pole sana kama uko DAR nitafute nadhani kwa 75% shida zako za kibiashara zitapungua tunafanya biashara hiyo hiyo ya HARDWARE kwa zaidi ya miaka 20 sasa na tuna vijiduka zaidi ya 5, pia hatuna haja ya kuajiri ndg wala jamaa wala kabila, nadhani utajifunza sana kutoka kwenye mfumo wetu

Naomba uweke hadharani ili tujifunze na wengine wa mbali.asante kwa uwelewa wako mkuu
 
Hapo unaweza ukatumia computer software itakayokua na database kwa ajili ya kurekod bidhaa zilizopo,zilizouzwa(inarekod na mapato baada ya kuuzwa bidhaa hizo) pia inaonesha bidhaa zilizobaki.Faida ya software hiyo inakua na user accounts mbili ambazo ni ya wewe mmiliki kwa ajili ya kuangalizia mapato na pia akaunt ya muuzaj ambae anakua anarekod mauzo tu bila kujua kwamba ww utakuja kuangalia kilichouzwa na mapato yaliyopatikana,na mie natumia program hii ktk biashara zangu kwa kweli siibiwi.
Ukihitji program hii nambie nikupe namba za jamaa anaetengeneza.
Mkuu hebu naomba utuwekee gharama ya hiyo program maana na wengine tunaihitaji sana.
 
Uwe na daftari tatu
1.Daftali la manunuzi ya Mali(kila unacholeta dukani unaandika)-na thamani yake pia
2.Daftali la mauzo(kila anachouza anaandika,inasaidia kujua umeuza vingapi,na vimebaki vingapi,na kiasi gani umeuza
3.Daftari la Matumizi(kila pesa inayotumiwa dukani iandikwe,hata tsh 100)maana baadhi ya vitu faida inaanzia mia,
NB unamdokeza kidogo kuhusu faida kwa kila items,ili ajue akificha 20000 ajue amepunguza mtaji,sababu faida ni ndogo
 
Naomba uweke hadharani ili tujifunze na wengine wa mbali.asante kwa uwelewa wako mkuu

1. Jenga utamaduni wa utafutaji (entrepreneurial Culture) kila mmoja ajue msingi na namna ya kuzalisha/kutengeneza pesa km customer care, matumizi stahiki/ ya rasilimali zote za biashara akiharibu inakula kwake, akiiba anajiibia mwenyewe hakuna hapa tajiri na mfanyakazi wote ni wadau na ni wabia kwa namna fulani.

2.Jenga Maadili, uongozi, na sera za kazi (management policy) hata kama wako 3 tu, team working, ikifika wakati wa kazi hakuna bosi wala kibaraka wote kazi tu,

3. Mifumo miwili ya usimamizi wa rasilimali zote mmoja wa kutumia computor program( sisi tunatumia QUICKBOOKS) na wa pili wa kawaida wa vitabu (sales, purchases, Expenses, Debtors, Creditor)Registers, journals, Ledgers, Bin Cards n.k=====++++ KUMBUKA hii mifumo lazima iende sambamba ISIINGILIANE kabisa Na wahusika ikibidi wawe tofauti kwani mmoja ana mkagua mwezie ni meneja/mkurugenzi tu anayeweza kuitumia kwa pamoja na kubaini ukweli/ uhalisia

Leo naishia hapo mwenye swali aulize au anitafute kwa kuelewa zaidi
 
Hongera sana na pia pole sana kama uko DAR nitafute nadhani kwa 75% shida zako za kibiashara zitapungua tunafanya biashara hiyo hiyo ya HARDWARE kwa zaidi ya miaka 20 sasa na tuna vijiduka zaidi ya 5, pia hatuna haja ya kuajiri ndg wala jamaa wala kabila, nadhani utajifunza sana kutoka kwenye mfumo wetu
Hongera sana tunahitaji watu wa aina hii kwenye mtandao au JF na mimi kuna siku nitakuja kwako.
 
Na ili wafanyakazi wako, Wasikuibie ni lazima uwalipe mshahara unaotosha,Sio unamlipa kijana wa watu elf 50 Alafu unankomalia kooni,Lazima wakukimbie na hapo ndio kipimo cha Ubinadam kinapoangaliwa kwa jicho la Ukaribu.
Jamaa anataka kuleta style za kina kanji. Apige 2m daily ila we unaemuuzia usubirie kulipwa 70 elfu mwisho wa mwezi. Huo ni ushenzi. Raha ya kazi ukitoka job mfukoni una 10-15 elfu hapo baba katoka kazini kweli sasa we uamke na mapumbu urudi kama ulivyoamka kweli. Hatuendi hivyo!

Kama hutaki kuibiwa mlipe vizuri hata 300k kwa mwezi ndio uanze kumbana kwa style hio. Weka inventory management software na uwe na PoS.
 
Noted.
Hapo unaweza ukatumia computer software itakayokua na database kwa ajili ya kurekod bidhaa zilizopo,zilizouzwa(inarekod na mapato baada ya kuuzwa bidhaa hizo) pia inaonesha bidhaa zilizobaki.Faida ya software hiyo inakua na user accounts mbili ambazo ni ya wewe mmiliki kwa ajili ya kuangalizia mapato na pia akaunt ya muuzaj ambae anakua anarekod mauzo tu bila kujua kwamba ww utakuja kuangalia kilichouzwa na mapato yaliyopatikana,na mie natumia program hii ktk biashara zangu kwa kweli siibiwi.
Ukihitji program hii nambie nikupe namba za jamaa anaetengeneza.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Noted.
kama duka lako ni kubwa na unamtaji wa kutosha unaweza funga cctv ambazo unaweza kuangalia biashara yako hata ukiwa mbali kupitia internet ,inaweza saidia kugungua wizi mapema na kuziba mianya, bei ni kuanzia 1M na kuendelea ukihitaji ni pm unipe namba yako nitakuunganisha na fundi

Sent using Jamii Forums mobile app
 
1. Tafuta software nzuri wakufungie

2. Mlipe vizuri jamaa aki perform vizuri mpe commission

3. Fanya timely follow ups sometimes unafanya surprise visit

4. Tumia "Mysterious Shoppers" hawa ni watu wanaokwenda dukani ambao yeye hajui kama wana uhusiano na wewe. Wanamchimba na kumchokonoa na kununua vitu vidogo vidogo viiiingi kwa maana humo ndio vijana wengi wanapopigia, hawezi kukupiga kwenye mabati au cement

5.Mpe kitengo chake, lets say katika biashara hiyo Misumari yoote haikuhusu ni biashara yake na hutomfuatilia.

6. Mmotivate mpe tamaa ya maisha, mpe moyo kama iko siku na yeye atakuwa kama wewe, ila ktk hilo hamna shortcut

7. Kuna jamaa alitoka middle east ktk 1980s aliacha kazi bank na kuja na kamtaji kadogo.
Alianza na hiyo hiyo hardware. Nyumba nyingi zilizojengwa Sinza miaka hiyo walinunua vifaa toka kwake.
Jamaa alikuwa anachukua vijana kijijini anawapiga msasa halafu anawakabidhi duka kwa mkataba kwamba ktk faida inayopatikana kila shs moja unayochukua/tumia basi na mimi niwekee shs moja pembeni
Mahesabu tunakuja kuhesabiana kila mwezi, nikiona unaenda vzuri tunafanya mahesabu kila robo mwaka, nikitosheka tunafanya mahesabu kila nusu mwaka hatimae mwaka mzima
Jamaa kwa Tz hivi sasa ni yupo ktk top 5 ya wamiliki wa Hardwares
Ameingia kwenye kupanda Mitiki na Mikorosho

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Nice.

Back
Top Bottom