hahahahahaha kaka bana zipo online zimejaa tele ningekupa ila siku hz maisha upande wa internet yamekuwa simple sana mfano tigo wanampaka internet ya siku niunlimited kwashling miatano tuu..saa nne voda ni miambili usiku kucha na airtel saa sita nibure so niww tuu na laini zako.
mimi nataka ya mchana kaka, usiku wote huo si nakuwa nimeshalala, usingizi ni afya ndugu

Wadau wa JF
naomba msaada wa kama kuna mtu anajua namna ya kuchakachua internet niwe natumia bure, niliwahi kufanyiwa hivyo na jamaa mmoja lakini baada ya kuformat pc yangu nayo ikapoteza settings, sina maujanja hayo kwa sana mwenye kujua tafadhali anisaidie,
Hivi mkuu bado ile ya Airtel ya usiku bado ipo mi nimezubaa tu na Airtel siku hizi nao naona wana kaspidi ngoja leo naanza kuUpdate windows ya pc yangu
ya usiku?? slow kama kinyonga...
Airtel ya usiku ipo fasterhuku kwetu sema wamepunguza ujazo so hupati 200 mb kama zamani.
bora ulipie wajanja ya voda
Wadau mbona internet ya airtel ni sawa na bureeeeee.... Mie hutumia sh. 2500 kwa mwezi. Napewa 400mb... ila ni kwa simu tu!!!!

Kwangu mm mbona cpati ya 2500? Me natumia ya siku 500tsh Unlimited!!