am sorry unaweza kutuma ugolo huo ukoje mfano sie tuliokulia vijijini tunajua Ugolo ni tumbaku ilosagwa!
Nilipokuja mjini hapa DSM nkasikia Ugolo sio hiyo tumbaku na sijawai bahatika kuona ila kuna taarifa nilipata kuwa ni 'KUBERI' sijui kama nimelipatia neno!
KIngine ambacho ningependa kujua ni je usipotumia kuna withdrawal sysmptoms unapata kiasi cha kuku force ukajipatie tena huo ugolo?
Kuna addicition zinazopona ila inategemea na aina ya kilevi!