Msaada: Namna bora ya kuua paka pori/shume kwa sumu

Sisi zamani tulikuwa tunaacha mlango wa nyumba wazi na huko ndani tunaweka mzoga wa kuku au nyama yoyote ile. Usiku tunalala wanakuja na kuingia ndani na kisha tunaanza kuwashambulia baada ya kufunga mlango.

Tulikuwa tunawaua sana, wanaweza kuingia hata watano, tukifunga mlango humo ndani ni vurugu hadi wafe wote.
Chiiiiii hamuogopi wakiwazidi nguvu???
 
Sisi zamani tulikuwa tunaacha mlango wa nyumba wazi na huko ndani tunaweka mzoga wa kuku au nyama yoyote ile. Usiku tunalala wanakuja na kuingia ndani na kisha tunaanza kuwashambulia baada ya kufunga mlango.

Tulikuwa tunawaua sana, wanaweza kuingia hata watano, tukifunga mlango humo ndani ni vurugu hadi wafe wote.
Sasa mkiacha mlango wazi alafu mkalala paka shume ndo wanawaamsha kuwa wamekuja au?
 
Habari wakuu. Kuna mahala hapa paka pori shume wananisumbua haswa. Wanaiba mayai, wanakamata kuku n.k. naomba nisaidiwe namna ninavyo weza kuwaua kwa sumu
Tafuta mzoga wa kuku, weka sumu kali kutoka maduka ya madawa ya mifugo, mpasue kati kati, jaza sumu........ Subiri kuona kimya kizito pasipo kusumbuliwa
 
Sisi zamani tulikuwa tunaacha mlango wa nyumba wazi na huko ndani tunaweka mzoga wa kuku au nyama yoyote ile. Usiku tunalala wanakuja na kuingia ndani na kisha tunaanza kuwashambulia baada ya kufunga mlango.

Tulikuwa tunawaua sana, wanaweza kuingia hata watano, tukifunga mlango humo ndani ni vurugu hadi wafe wote.

Usithubutu kufunga nakuanza kumpiga paka utaufungua wewe kwa lazima
 
Kama una umeme home, tumia electric shock, short ya umeme inamuumiza kama siyo kumuuwa . Alipona basi hatarudi tena

Back
Top Bottom