Mwambie mkeo akutafutie kundi la watoto wakuzomee huku wakikuimbia kikojoziii kikojoziii kikojoziii kikojoziii hauta rudia wengi tuliimbiwa hivi tukiwa wadogo tukaacha
Nenda hospital upima mfumo wa mkojo na pia upate ushauri wa physiology.
Ni vyema kukojoa na kuepuka unywaji wa vitu vya majimaji wakati wa usiku au kabla ya kulala.
Home remedy: chukua ndevu za mahindi uchemshe kama kiasi cha fumba/ kiganja kimoja kwenye maji ya lita moja utumie mara tatu au mbili kwa siku.
Kwa msaada zaidi wawea kuniuliza zaidi.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.