Ni kweli!!!Kutokubali kuwa jambo lipo, au kutakiwa kuwapo, halifanyi lisiwepo.
Litakuwepo tu katika hali yoyote, kwa kukubalika au kutokubalika.
Uchague kulikubali, au ukae kando na uache liwepo.
Hakuna mtu anayechagua nimpende au nisimpende fulani.
Unapenda tu, na hakuna maelezo mazuri kuhusu hilo.
Nimekuelewa, ameshanielewa pia.Mkuu ni kwamba anaona unazunguka sana.....instead of goin strait kumshauri muhusika directly.....japo unavofanya ni sahihi step by step...
Unachopaswa kuelewa, mapenzi ni zaidi ya kushika " VIDORE " / VIDOLE.Ok manake uki act as a women unatafuta njemba anakushikisha vidore vya miguu afu uki act as a men unatafuta mrembo unakula mzigo.
Au niko op mkuu
Ivi unajua maana ya kua bisexual?
Haimaanishi kua atamwambia mwanamke amfanye...
Akiwa na mwanamke atakua kama mwanaume mwingine tu... Nnachosema ni ajitahidi kuiondoa hiyo hamu ya kua na mwanaume.
Akipata msichana atakaempenda anaweza msaidia kubadilika kihisia
Jamani... Bisexuals wanamla mwanamke kama kawaida!!! Kama unavyogegeda mwanamke nao wapo hivyo.Mkuu;
Yaani hawata do?? Amwangalie tu halaf aondo anatafuta tigo tu. Angalia isijekuwa humwelewi
Nchi za watu weupe, sio tu kwamba wanatoa nafasi kwa watu kufanya mapenzi wanayotaka, ila kwa sababu kuna umuhimu wa kufanya hivyo.Ni kweli!!!
Anakula wanawake nae analiwa na wanaume ndio maana yake.Jamani... Bisexuals wanamla mwanamke kama kawaida!!! Kama unavyogegeda mwanamke nao wapo hivyo.
Labda mleta uzi atufafanulie zaidi alichimaanisha kwa kusema bisexual
Nafikiri haya hapa ni majibu sawa kabisa kwa mleta Uzi.Take it easy mkuu!!!
1. Tafuta mpenzi wa kike aliechangamka namwenye kukuweka bize kiakili, kimawazo na kimwili...
2. Acha kabisa kuangalia picha za ngono haswa za jinsia moja... Zinahamasisha sana
3. Shika sana dini mkuu! Mungu pekee ndo mwenye uwezo wa kukulinda na hili. Kama sio mtu wa kusali ni bora uanze. Atakuondolea hamu zote za ajabuajabu
4. Epuka mazingira yanayoamsha hisia juu ya wanaume wenzako.
Yaani umezaliwa in a wrong country kudhani kwamba kuna atakaekushauri ujaribu huo uoande wa pili.
Kwa jinsi nimemuelewa Mimi ni kwamba ye hata akiona mwanaume ana kua na matamanio kama mwanamke kama sijakosea ndio mana huyu ndg kamjibu atafute mwanamke wa kumfanya awe bize,na kitu naona kwel itakua anaangalia sana porn huyu!!Mkuu;
Yaani mimi sijamuelewa kabisa kabisa. Unamwambia amtafute mwanamke atakaye mweka bize kiakili. Mbona una maneno ya kiajabu?? Wewe ungemsaidiaje akikufikisha kwake halafu mnapovuana akakuomba umlalie tu mgongoni au umt.iiliie dole lako?? Ungemsaidiaje??
Mwambie wazi wazi kuwa, In this country, there is no cure for people like him. Hatujafika huko
yaani mkuu mwanamke na mwanaume kwangu naona sawa tu kwenye sex
hayo ni magonjwa ya kisaikolojiasifikirii kuwa homosexuality, bisexuality, au sexuality yoyeto nyingine ni ugonjwa unaohitaji tabibu.
Kwanini unadhani ni ugonjwa kupenda?
Well said. People are in denial. Saying simply that there's no problem basi hii ishu inaondoka.hakuna kitu kama KWANINI NIKO HIVI, AU IMETOKEA NINI NIKAWA HIVI. I think you should think of the positives about yourself!!
Hakuna mchawi, wala historia ya jinsi ulivyo, au ulivyotokea kuwa.
Nadhani hivyo ndivyo ulivyo, na ndivyo inavyokufanya wewe, na wewe pekee tofauti na wengine.
Wengi wanaotoa matusi na kukujeli ni watu duni na washamba wasio na ufahamu wowote wa masuala ya ujinsia, hisia, na mahusiano.
Matusi yao na ufahamu wao duni visikufanye ufifie moyo. I think you are beautiful.
kuna haja siku za mbeleni, "endapo" ufahamu wa watu ukaongezeka, tukafundisha wanafunzi wa shule za msingi na sekondari juu ya maswala ya jinsia na ujinsia.
Tusiishie kwenye uanamke na uanamume, tupanue maarifa na kujifunza abnormalities zinazotokea katika jinsia za watu.
Kutoa matusi na kujifanya kuwa jambo fulani halipo ama halitakiwi kuwapo ni sawa na mbuni anayedumbukiza kichwa mchangani na kukiacha kiwili wili nje.
I think you got to love yourself, and enjoy your life.