Mwenye hii movie inaitwa Regina iliyotolewa na kampuni ya JB Jerusalem films anisaidie. Nimeitafuta miaka miwili iliyopita bila mafanikio. Tafadhali mwenye nayo anisaidie naipenda sana.View attachment 726437
kHuyu dada alivyoigiza nimempenda sana.ila inavyoisha huwa inakaribia kuniliza