Msaada nahitaji wakitaabu. | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Msaada nahitaji wakitaabu.

Discussion in 'JF Doctor' started by Raia Mvumilivu, Jun 20, 2012.

 1. Raia Mvumilivu

  Raia Mvumilivu Member

  #1
  Jun 20, 2012
  Joined: Nov 28, 2011
  Messages: 21
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Mimi ni mwanaume,nina warts kwenye maeneo ya pubic hairs na zinaongezeka na kukua baada ya kutumia dawa kama pencil hivi ya kuviunguza, Je dawa yake ni nini kuviondoa kabisa maana sivipendi?.
   
 2. Evarm

  Evarm JF-Expert Member

  #2
  Jun 20, 2012
  Joined: Aug 30, 2010
  Messages: 1,499
  Likes Received: 186
  Trophy Points: 160
  Pole sana mkuu, umeenda hospitali lakini?
  Ngoja wadau watakuja kukusaidia!
   
 3. Raia Mvumilivu

  Raia Mvumilivu Member

  #3
  Jun 21, 2012
  Joined: Nov 28, 2011
  Messages: 21
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Ndio nilienda hosptl,nikapewa dawa kama pencil ambayo ilifanikiwa kuviunguza BUT vikachipua vngine kwa kasi na wingi na vinakua daily, Stil nahitaji ushauri wa tiba.
   
 4. Kilahunja

  Kilahunja JF-Expert Member

  #4
  Jun 21, 2012
  Joined: Dec 19, 2011
  Messages: 1,497
  Likes Received: 32
  Trophy Points: 145
  Warts ndo nini?
   
 5. k

  kamili JF-Expert Member

  #5
  Jun 21, 2012
  Joined: Feb 10, 2011
  Messages: 714
  Likes Received: 113
  Trophy Points: 60
  Kwanza ni vizuri ukachunguzwa afya yako vizuri kwa sababu vinahusiana na HIV infection. Pili tiba yake inategemea ni vingi kiasi gani. Inategemea na wingi wake, vyaweza tibika na hiyo caustic pensil, au Podophylline au kama ni vingi sana hufanyiwa cauterization hospitalini.
  Kama unatumia caustic pensil, naamini utakuwa umeelekezwa tahadhari ya jinsi ya kutumia. Baada ya kuchukua tahadhari hizo hakikisha ile caustic pensil unaituliza kwa dakika tatu kwa kila kimelea cha warts. Kwa hiyo baada ya kutuliza hiyo caustic pensil kwenye kimelea kimoja unahamisha kwenye kingine nacho unakichoma kwa muda huo mpaka vyote vimeisha. ukifanya hivyo huwa havirudi na vikirudi huwa ni vichache sana ukilinganisha na vya mwanzo, na hivyo ukirudia huwa vinaisha kabisa.
  Pili mkague patner wako kwa sababu vinaambukiza, ili nae apate tiba.
   
 6. georgeallen

  georgeallen JF-Expert Member

  #6
  Jun 22, 2012
  Joined: Jun 3, 2011
  Messages: 3,758
  Likes Received: 57
  Trophy Points: 145
  Mbona unamtisha mkuu? Warts inasababishwa na Human Papilloma Virus(HPV) wakati HIV inasababishwa na Human Immunodefficient Virus (HIV).Siyo kila aliye na warts ana HIV. HPV can be prevented by vaccination, gardasil and the warts can be managed by podofilox or Aldara cream.
   
 7. Riwa

  Riwa JF-Expert Member

  #7
  Jun 22, 2012
  Joined: Oct 11, 2007
  Messages: 2,601
  Likes Received: 234
  Trophy Points: 160
  Kamili ume'jump into conclusion' haraka...Warts zinasababishwa na Human Papilloma Virus, ambao mara nyingi ni sexually transmitted, hivyo wanashare same risks as HIV, na hii ni sana sana kwa wanawake (huyu ni mwanaume). Huo ndio ukaribu pekee kati ya HPV na HIV. Si kila Warts au HPV infection basi iko associated na HIV.

  Pili...kitabibu, si sahihi kumpa mtu ushauri mzito hivyo 'wazi' kweny thread hii, ungem-PM umshauri. Unaweza ukampa mtu/watu u-wendawazimu hapa, kwani naamini si GeorgeAllen tu mwenye tatizo la Warts kwenye hili jamvi.
   
 8. NTINGINYA

  NTINGINYA JF-Expert Member

  #8
  Jun 22, 2012
  Joined: Oct 5, 2010
  Messages: 255
  Likes Received: 4
  Trophy Points: 0
  Wandugu hebu kwanza mtufahamishe hi WARTIS iko vipi ni vile vinyama vinavyoota mwilini mbona tunatishana mana kama ni hiyo tukapime wengi jamani heeeeee HIV tena
   
 9. Raia Mvumilivu

  Raia Mvumilivu Member

  #9
  Jun 22, 2012
  Joined: Nov 28, 2011
  Messages: 21
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
   
Loading...