Msaada nahitaji shockup za mtumba za Toyota Nadia type Su

Apr 21, 2016
7
0
IMG_20161126_135544.jpg
 
Mkuu kwann ununue shockup za mtumba? kuna vitu vya kununua vya mtumba sio shock up au brake pads
Umenena mkuu. Atakuwa hajafanya research madukani, au fundi kamuaminisha hivyo.

Shock up za vitz nadhani ni elfu 80 kwa mbili(set). Hizo ni zile za kawaida.

Labda kama unahitaji na spring zake, ambazo madukani hamna. Ila kama ni shock up, nunua mpya dukani. Wanauza kwa set.

Ni vizuri pia ukauliza kama ni gas au mafuta.
 
na spring mkuu unapata zipo..nenda master card sema ndo panakuwa parefu.
 
Sawa Mkuu nashukuru kwa ushauri Fundi kanishauri mpya hazidumu tofauti na za mtumba
Muulize kwani hizo za mtumba zilitoka wapi...si watu walinunua shop wakatumia wakazibadilisha...shop unapata quality inayoendana na hela yako...zipo mpaka za 550k kwa moja za gesi..ukifunga hizo ni mkataba we ni kuservice tu.
 
Back
Top Bottom