Msaada: Nahitaji Protein Supplimentary niongezeke uzito

mie nafunga na kunywa maji ya malimao angalau nipungue lkn wapi!!

ama kweli....
 
Habari wakuuu naomba mnisaidia wapi ntapata maana naka mwili kadogo na bmi ipo chini kidogo
Tumia vyakula tu ambavyo unaweza kuviandaa.kunywa uji wa ulezi asubuhi na jioni changanya ulezi,karanga,mtama,soya iliyotolewa maganda,ngano kwa ratio ya 1:1:1:1:1..pia kula karanga za kukaanga sana kwani zina kiasi kikubwa sana cha protein,piga ugali wa dona kwa nyama au mboga mboga na matunda then uje hapa baada ya wiki 3
 
Ni kweli unaweza nenepa na bidhaa za Forever Living, kinachotakiwa zile shake zinazotumika kupunguza uzito wewe unatumia kuongeza uzito kwa kutoruka milo, wanaopunguza uzito wanakuwa hawatakiwi kula msosi kama anatumia shake, yaani shake inakuwa mbadala wa msosi, kwako wewe shake itaenda sambamba na msosi.
Kuwa makini kuna distributors wanapandisha bei juu ya zile kampuni ilizowapangia, kuna ndugu yangu alililiwa hela sana bila yeye kujua.
Mafanikio mema amosi david
 
Last edited by a moderator:
Karanga hazina kiwango kikubwa cha protein bana.
Ungenipa uthibitisho wa hilo unalolisema,pinga kwa hoja kutoka kwenye hizi source of information...angalia chat katika source ya kwanza but na maelezo kutoka source nyingine nilizokuwekea hapa.
Peanuts nutrition facts and health benefits
How Much Protein is in Peanuts? | Healthy Eating | SF Gate
How Much Protein Is in Peanuts? | LIVESTRONG.COM
Health tips | Diet tips | Home remedies for common ailments - Just Eat

Karanga ina ukosefu wa L-Methionine tu ambayo ni essential amino acid ndo maana nikamuwekea apate na nyama ili kupata amino acid zote,vingine ni maziwa,mayai,samaki na poultry
 
mimi ni wakala wa bidhaa za forever living.na bidhaa ulizotaja za kuongeza mwili/uzito kweli zipo na kuna watu tayari walishatumia zikawasaidia.kama utahitaji ni pm tutasaidiana.
Hata kama mtu anahitaji kupungua, zipo bidhaa kwa ajili ya kupunguza uzito.they real work.
Akhsanteni.

hizo nilishatumia lakini sikupata matokeo yeyote walinipiga laki 1
 
Ungenipa uthibitisho wa hilo unalolisema,pinga kwa hoja kutoka kwenye hizi source of information...angalia chat katika source ya kwanza but na maelezo kutoka source nyingine nilizokuwekea hapa.
Peanuts nutrition facts and health benefits
How Much Protein is in Peanuts? | Healthy Eating | SF Gate
How Much Protein Is in Peanuts? | LIVESTRONG.COM
Health tips | Diet tips | Home remedies for common ailments - Just Eat

Karanga ina ukosefu wa L-Methionine tu ambayo ni essential amino acid ndo maana nikamuwekea apate na nyama ili kupata amino acid zote,vingine ni maziwa,mayai,samaki na poultry

Ingia hapa na hapa na hapa.
 
Mi nahisi hukutumia inavyopaswa.Kwan kuna package maalumu kwa ajili ya kuongeza uzito.Unakuwa unaitumia na matunda.Hapa kwenye jinsi ya kutumia ndo wengi sana huwa wanakosea.
Toa darasa kidogo mkuu wengi tuna shida kama hiyo
 
Kula ile nyama haramu angalau kilo3 kwa wiki huku ukiisindikizia na kinywaji cha yule jamaa asiyeshusha mikono.
 
Back
Top Bottom