Msaada: Nahitaji mtu wa kunifundisha gari

Msaada: Nahitaji mtu wa kunifundisha gari

Ndugu kuwa muelewa.. gari usipoendesha muda mrefu unaloose control.. ndio maana kazi za madereva zinataka experience.. yaani asome veta mwezi mmoja ajue kisha akae mwaka mzima bila kugusa gari.. halafu asikosee kweli?
Hakika umeongea point mkuu,
Tena huo mwezi mmoja asilimia kubwa ni theory,
barabarani ni dakika chache sana tena za wiki mbili za mwisho
 
Kama una muda uwe unaenda mitaa ya Bandarini kuanzia geti namba 5 muda ya saa 10 foleni ikianza.

Jichanganye uongee na wale madogo wa kuuza karanga/sigara uwa wanaachiwa kusogeza gari za trip town zenye container empty.

Kule utapata uzoefu mzuri wa manual maana madereva wenye Mishe zao huacha gari wasogezewe, utapata kujiamini kwa kuendesha manual vigongo za Madina 2001 na Motichand.
Nitafanya kama ulivyonishauri mkuu shukrani kwa ushauri[emoji120]
 
Kwako haikuwa ngumu sana kwanza gari ni ya nyumbani ingawa unaendesha kwa kuiba tofauti na mm mtoto wa maskini hata mkokoteni wa urithi sijakuta.

Pili gari uliyojifunzia na kuiendesha ni automatically sio manually
 
Gari ushajua Ila tatizo nikama ilivyoanza KUSEMA umetokea familia maskini, ndiyo kinachokunyima Amani bado minyororo ya UMASKINI wa familia imekuzonga. Kuna watu hawaendelei kwa kwakuwa hawaamini Wanachokifanya. Usikute hata kuacha huo ulinzi UNAOGOPA. Kuukata UMASKINI NI sawa na kujitoa kwenye unyororo. Unahitaji pia moyo wa kijasiri.
 
Jamaa namuelewa sana zile wiki nne hazitoshi kujua gari asee
Unakua unajua kuendesha ila sio dereva so ukipewa gari usukume peke yako kuna chance kubwa ya kula buyu wanaonufaika sana na hzi driving ni wale kwao kuna magari au unaenda driving kisa umeagiza gari yako ya kwanza so kulitia barabarani hakuna lawama..

Ila ka kitaa hakuna gari lazma uogope
 
Back
Top Bottom