Msaada: Nahitaji mtu mwaminifu anayetokea China mwezi huu

Uzalendo Installer

JF-Expert Member
Nov 8, 2014
2,633
2,000
Naomba mtu yeyote anaetokea china mwezi huu wa january nimuagize parcel yangu ya electronics components. Vifaa nimenunua ebay under free shipping lakini huwa vinachukua muda mrefu kufika, kama kuna mtu anaweza nisaidia kunibebea au kama ipo njia nyingine rahisi naomba kujuzwa pia lakini iwe tofauti na DHL / FeDex.

Asante kwa ushirikiano wako.
 

geofreyngaga

JF-Expert Member
Sep 7, 2014
412
500
nadhan hapo ndo tunaumiaga watz, wkt jamaa anatafuta msamalia amsafirishie mzigo wake wengine tunafikiria jamaa anatafuta kuibiwa. kwanini tusianze kujilinda wenyewe kwa kuogopa vitu kama hivyo? binafsi baada ya kulisoma tangazo tu nikawaza uenda uo mzigo wa chid vits. sasa omba Mungu ufike salama alaf ufikirie kuuiba. sina nia mbaya na mleta post,, nilikua nachomekea tu!
 

Isanga family

JF-Expert Member
Feb 25, 2015
7,311
2,000
Nenda kkoo Mtaa agrey hapo walipokua wanauza DVD za kutoka China Muulize Juma mtu mzima ana watoto wake wapo Hong kong na China,Hela au mizigo huwa wanatuma hao jamaa huyo Mzee Juma mwenyewe kaishi sana hapo atakujulisha jinsi ya kupokea mizigo yako unafata mwenyewe airport abiria anakuja nao...
 

Bila shuka

JF-Expert Member
Oct 14, 2014
601
500
Km kusubiri wiki 3 nyingi kwa eBay basi waambie eBay wasafiriishe kwa ndege za mzg ni siku 3 mzg wako unao mkononi ,kilo moja ni 25,000 kwa ndege
 

Uzalendo Installer

JF-Expert Member
Nov 8, 2014
2,633
2,000
Nimeahirisha ngoja niusubir tu kwa miezi hiyo miwili...mbeleni mkulu ataleta ndege inayokwenda china na tutapata unafuu wa shipping cost.....alafu kama kuna mfanyabiashara apa jaribuni kuleta vifaa kama arduino..RFID reader,RFID tags,programmers, n.k mbona ni cheap sana china uko...wanafunzi wa electronics na computer tunapata shida sana mpaka kuagiza kenya na kuna bei kubwa huko....
 

BarakaMaiseli

Member
Feb 15, 2012
9
45
Nimeahirisha ngoja niusubir tu kwa miezi hiyo miwili...mbeleni mkulu ataleta ndege inayokwenda china na tutapata unafuu wa shipping cost.....alafu kama kuna mfanyabiashara apa jaribuni kuleta vifaa kama arduino..RFID reader,RFID tags,programmers, n.k mbona ni cheap sana china uko...wanafunzi wa electronics na computer tunapata shida sana mpaka kuagiza kenya na kuna bei kubwa huko....
Vifaa hivi vyote ulivyotaja vinapatikana kwa wingi duka moja linaitwa BAFREDO Electronics, number ya simu ni 0659-087426. Duka lipo opposite na njiapanda ya barabara ya chuo kikuu cha Dar es Salaam, au ni upande wa bondeni wa Sam Nujoma Road. Utapata hapo dukani Arduno aina zote, programmers, RFID readers and tags,.......
 

Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom