Msaada: Nahitaji Likes na followers wengi Instagram na Facebook

Ukitafuta followers hutapata. Ni kama anayetafuta pesa, hawezi kuzipata. Fedha hufuata kazi vivyo hivyo followers hufuata contents. Wakufuate una nini? Millard Ayo ana habari, Don Trump ana White House.

Wewe una nini?
 
fungua page facebook kisha ipe promotion kwa siku ni kama 1$ weka mkwanja wa kama Week tu utakuwa na likes nyingi
 
hiyo trick mkuu inawezekana na wengi wanatumia.. sema kuna apps moja ipo playstore ndo inafanya trick hizo... yaan inatuma request kwa mmoja halaf rafik zake wote automatically wanajikuta wamekufollow bila kujijua.. ukituma kwa watu 20 tu una zaidi ya 2k unayoitaka...
 
App ipi hiyo
 
Back
Top Bottom