Msaada: Nahitaji laptop mother board!

Msolo

JF-Expert Member
Oct 19, 2008
1,742
2,000
Hello Wakuu,
Ni mda mrefu sasa natafuta mother board ya Dell Latitude D430 U7600, atakayepata anisaidie plz!
 

ahally

Member
Aug 24, 2010
7
20
hiyo laptop ina tatizo gani kubwa hadi untaka kubadilisha mainboard? naomba nicontact via +255777413151 /+255788413734 nitakusaidia
 

Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom