Msaada: Nahitaji kuongeza njia za RAM kwenye Desktop yangu

chuxxe

JF-Expert Member
Feb 4, 2019
382
250
Msaada jamani, Desktop yangu ina njia 2 za kuwekea RAM na mimi nimeweka RAM 2gb kila njia ila nina RAM zingne nahitaji kuongeza na hakuna njia ya kuweka.

Je, kuna kifaa chochote kinachoweza kutumika kuongeza hizo njia?
 
racka98

JF-Expert Member
Jul 7, 2020
1,045
2,000
Hakuna kifaa chochote. Ukiona ina slot mbili ina maana processor ndo inauwezo wa kuhandle bandwith ya lane 2 za memory basi. Huwezi ongeza njia nyingine
 
Chief-Mkwawa

Platinum Member
May 25, 2011
26,756
2,000
Hio ni issue ya motherboard, mpaka ubadili motherboard ndio utaweza ongeza lane. Processor yoyote ya 64bit haina shida kuhandle slot 4 ama zaidi za Ram, unless processor yako ni ya kizamani sana enzi za 32bit.

Pia ram za 4gb ni rahisi sana around 30,000 hv mpaka 40,000 unaweza ukauza 2gb 2 na kununua 4gb moja.
 
chuxxe

JF-Expert Member
Feb 4, 2019
382
250
Hio ni issue ya motherboard, mpaka ubadili motherboard ndio utaweza ongeza lane. Processor yoyote ya 64bit haina shida kuhandle slot 4 ama zaidi za Ram, unless processor yako ni ya kizamani sana enzi za 32bit.

Pia ram za 4gb ni rahisi sana around 30,000 hv mpaka 40,000 unaweza ukauza 2gb 2 na kununua 4gb moja.
sawa mkuu hapo nimekuelewa ila motherboard yangu si yakizaman sema ty ina mfumo huo
 
RReigns

JF-Expert Member
Jun 8, 2015
17,046
2,000
Hio ni issue ya motherboard, mpaka ubadili motherboard ndio utaweza ongeza lane. Processor yoyote ya 64bit haina shida kuhandle slot 4 ama zaidi za Ram, unless processor yako ni ya kizamani sana enzi za 32bit.

Pia ram za 4gb ni rahisi sana around 30,000 hv mpaka 40,000 unaweza ukauza 2gb 2 na kununua 4gb moja.

Chief hii maahine hapa unaionaje binafsi imenivutia

https://m.aliexpress.com/item/4001232188050.html?spm=a2g0n.detail.0.0.14721bf8JBUC29&gps-id=storeRecommendH5&scm=1007.18500.139671.0&scm_id=1007.18500.139671.0&scm-url=1007.18500.139671.0&pvid=80379604-8084-47c0-bdf9-b108cabb0b67&_t=gps-id:storeRecommendH5,scm-url:1007.18500.139671.0,pvid:80379604-8084-47c0-bdf9-b108cabb0b67,tpp_buckets:668#0#131923#58_668#808#3772#996_668#888#3325#14_668#2846#8113#667_668#2717#7566#816_&browser_id=a247bc6b41294fbda35144c4cb4b79d3&aff_trace_key=ff22f124f8e74979b064d578620d50c9-1594630430545-09667-UneMJZVf&aff_platform=msite&m_page_id=hpgqfr3qzhqcask7173488ca86521c73da52b4d6f9&gclid=&_imgsrc_=ae01.alicdn.com/kf/Hb405180f23734423b894ad25e73b50b1Y.jpg_640x640Q90.jpg_.webp

3ee5f776-d894-4bd3-8370-5d85015bce16.__CR0,0,970,600_PT0_SX970_V1___.jpg
H424c71ec1cfd4915acfe3031baf87697R.jpeg
Ua3d6e42514f240e38a24bdf80fed10e4P.jpg
 
Chief-Mkwawa

Platinum Member
May 25, 2011
26,756
2,000
swali mkuu motherbord za slot 2 inaweza kuwa na nguvu maana nafanya upgrade kwajir ya game
Game zinapitia kwenye gpu, kama ina PcieX16 inamaana ina bandwidth ya kutosha kurun hio Gpu,

Itatumika Ram kama unatumia Gpu ya ndani, na Gpu almost zote za Ndani ni dual chanell hivyo slot 2 zinatosha, hakikisha tu speed za ram zote 2 zinafanana, kama ram moja ipo slow itamfanya mwenzake nae awe slow vile vile.
 
chuxxe

JF-Expert Member
Feb 4, 2019
382
250
Game zinapitia kwenye gpu, kama ina PcieX16 inamaana ina bandwidth ya kutosha kurun hio Gpu,

Itatumika Ram kama unatumia Gpu ya ndani, na Gpu almost zote za Ndani ni dual chanell hivyo slot 2 zinatosha, hakikisha tu speed za ram zote 2 zinafanana, kama ram moja ipo slow itamfanya mwenzake nae awe slow vile vile.
asnnte sana mkuu nimeona pia ina slot ya gpu
 
Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom