Caine Chuhira
Member
- Sep 17, 2016
- 27
- 38
Habari wanaJF
Mimi ni Mwanafamilia mwenzenu wa humu japo sina Muda mrefu sana ila nafurahia sana jinsi kulivyo na Ushirikiano mzuri kwenye shida na raha lakini pia taarifa mbalimbali nazipata haraka.
Mimi nina mdogo wangu yuko FORM TWO shule aliyokuwa anasoma imefungwa kutokana na matatizo ya mshahara kwa Walimu na bado suluhisho hamna watoto wamerudishwa nyumbani Form two na Form four ambao ni Madarasa ya watahiniwa. Hiyo shule inaitwa BETTYMICHEL IKO WILAYA YA KILOSA MKOA MOROGORO.
Hivyo Namtafutia Shule mdogo wangu, ambayo Ada yake ni nafuu akasome tu hivyo hivyo kutokana na uwezo nilionao ni mdogo, Nilitamani aende shule yeyote lakini Uwezo ndio msemakweli.
MSAADA PLEASE, MSIUPITE BURE HUU UZI,
INTO CONSIDERATION PLEASE OVER PLEASE !!!