Msaada: Nahitaji kujiunga na kidato cha tano kama private condidate

satura

Member
Oct 18, 2014
37
6
Naomba msaada,

Naitaji kujiunga na kidato cha tano kama private condidate mchepuo wa EGM ila ningependa kusoma katika mkoa kama Morogoro na Arusha, Moshi au Mbeya mwenye kujua shule nzuri yenye gharama nafuu.

Msaada tafadhali
 
ndo nimemaliza 4m4 2016 ila PC
Kuna shule ipo morogoro inaitwa mchunguzi na alpha karo ni nafuu na watu wanachomoka vizuri tu...

Pia arusha zipo ni wewe tu. Are you ke or me !!
 
3 Ashira Moshi(V) Kilimanjaro EGM HGE HGL HKL CBG
4 Azania(Day) Ilala Dar Es Salaam ECA EGM HGK HKL PCB PCM
5 B W Mkapa + Ilala Dar Es Salaam ECA EGM HGE HGK HGL HKL PCB PCM
 
Nenda Meta sec iko hapo Mbeya mjini kati
Hivi meta nayo shule??

Kwa advance.mbeya my b
Ivumwe
Pandahili
Swila


Ila sio Meta,Sangu,itende sizachoka wanaendaga walioshindakana sehem zingine kwote plus mlima mbeya ni jipu hizi
 
Back
Top Bottom