Msaada: Nahitaji kufahamu power bank original

ashomile

JF-Expert Member
Mar 1, 2017
2,625
2,443
Kama kichwa cha habari kinavyoeleza nahitaji kujua POWER BANK ORIGINAL hata kama inachaji simu mara mbili au mara tatu ikajaza kulingana na betri zake za mAh. Mfano power bank 9000mAh yenye gharama nafuu, nahitaji ambayo gharama yake itanicost kwenye elfu 40,000 na hadi 50,000 msingi iwe original kabisa na nitazipata wapi ?

Maeneo yangu sina uhakika kama nitapata kitu Original maana wapiga dili wengi mnoo, wanakimbiza mwenge mpk too much, haya sasa wakina Chief mkwawa na wengineo mnaweza nipatia ufafanuzi ntapata wapi power bank. Yangu ni hayo tu niwatakie majukumu mema.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
mkuu xiaomi mi powerbank 10,000mah unaipata kwa hela hio, hii capacity yake ni kama 7000mah maana ukichaji si.umeme wote unaingia kwenye simu, hivyo itategemea na simu yako.

kuna jamaa anajiita highlife yupo fb anaziuza, unaweza mcheki.
 
Ahsante
 
Back
Top Bottom