MSAADA: Nahitaji (Display) Kioo Cha Laptop Aina Ya HP

FRANC THE GREAT

JF-Expert Member
Joined
May 27, 2016
Posts
5,500
Reaction score
8,067
Habari wadau wa JF. Nina Laptop ambayo ina matatizo ya kioo ambacho kimepasuka na kuvujia wino.

Model ya Laptop ni 15-ac130nia aina ya HP. Ukubwa wa kioo ni 15.6 Inches.

Yeyote mwenye nacho au mwenye kujua mahali ambapo nitakipata kwa gharama nafuu nahitaji msaada huo tafadhali. Karibu!
 
kioo kipo sasa hicho unachotaka ni slim au chenye filter
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom