Msaada: Nahitaji bei na aina za mashine za mazoezi

Msaada: Nahitaji bei na aina za mashine za mazoezi

Hii ninayo na nilikuwa naitumia nikawa na tatizo la kuumwa shingo. Kwahiyo niliachana nayo. labda kwa ushauri zaidi nini kingefanyika?

Mkuu PARADIGM labda unakosea namna ya kuji "position" me ni mwezi wa pili sasa nakitumia na ninaona matokeo chanya!
 
Last edited by a moderator:
Mkuu PARADIGM labda unakosea namna ya kuji "position" me ni mwezi wa pili sasa nakitumia na ninaona matokeo chanya!

kweli hata mimi nilikuwa naona matokeo chanya lakini tatizo ilikuwa shingo linauma muda wote. Mwanzoni nilifikiri ni siku za mwanzo lakini hata baada ya mwezi nasikia kama flow ya damu inakuwa kali kwenye shingo na kichwa kinauma.
 
Last edited by a moderator:
kweli hata mimi nilikuwa naona matokeo chanya lakini tatizo ilikuwa shingo linauma muda wote. Mwanzoni nilifikiri ni siku za mwanzo lakini hata baada ya mwezi nasikia kama flow ya damu inakuwa kali kwenye shingo na kichwa kinauma.

Basi inategemea mtu na mtu, vipi kwani maumivu bado unayapata. Au yaliisha baada ya kuacha zoezi.
 
Basi inategemea mtu na mtu, vipi kwani maumivu bado unayapata. Au yaliisha baada ya kuacha zoezi.

yaliisha nilipositisha. huenda sikupata mshauri jinsi ya kutumia. nilinunua kwa machinga barabarani.
 
Kuna hii inaitwa "Roller" kama sijakosea spelling kws ajili ya kupunguza kitambi na kukata tumbo. Pia inaimarisha misuli ya kwenye mikono. Haitumii umeme. Inauzwa Elfu kumi tu. Ni kama tairi flani hivi. Ni nzuri pia kwa mazoezi nyumbani

Inaitwa 'Ab Wheel' Chief, unaweza kuifanyia mazoezi ya mwili m'zima.
 
Asante Mkuu,vinapatikana wapi Mkuu na vinauzwaje?

jeshini.......supermaket
kama upo dar hapo aziz ally

Game mcty vipo kama unaingia mr price mkono wa kulia kuna duka la michezo

kuna za mtumba kibao
kama unaenda karume kutokea k.koo kuna maduka ya vifaa vya mazoez vya mtumba

bei sijui mi naemdaga gym

kwa mikoani sijui vinapopatikana
kwanza uko wapi???
 
wewe mtembezzi...
 
Roller zinapatikan kila kona yenye machinga huwezi kikosa weny hicho kifaa ila jitahidi utenge muda angalau mara 2/3 kwa wiki uende gym ndo utapata vifaa vingi vya kutumia
 
Asanteni sana wakuu nimepata mwanga wadau.Jf ni faraja
 
Kama unaweza kupata muda wa kufanya mazoezi basi uanze kufanya jogging. 5 kilometres kwenda na kurudi. Haya mazoezi tosha.

Au kuna simple mazoezi unaweza kufanya indoor bila kuhitaji mashine. Download app ya fitbit ina mazoezi ya kila aina ambayo ni simple ila mazuri sana.

Mazoezi mazuri ni yale natural - Jogging, Swimming, biking nk. Haya mazoezi ya kunyanyua na kunyonga vyuma inabidi upate ushauri wa kitaalamu. Vinginevyo unaweza kuharibu afya yako kuliko kujenga. Nguvu za kiume hazijengwi kwa vyuma zinajengwa kwa supu ya pweza na uzoefu. Utaishia kuhara, kuumwa shingo, kuwa kama katuni, na mwisho kupoteza hata huto kiduchu ulitonacho!
 
Hii mm ninayo inanisaidia sana mkuu
 
Attachments

  • ImageUploadedByJamiiForums1433458755.572189.jpg
    ImageUploadedByJamiiForums1433458755.572189.jpg
    75.4 KB · Views: 164
Unaweza kufanya mazoezi pasipo hata kutumia mashine yoyote...

1. Jaribu kuruka kamba, hili ni zoezi murua sana.

2. Piga push ups kadhaa kabla ya kulala na baada ya kuamka...

3. Fanya setups kwa ajili ya kukaza tumbo (Google kwa mazoezi mbadala ya tumbo)

4. Fanya squarts kwa ajili ya kujenga misuli ya nyonga, miguu na mapaja (lower body parts)...

5. Mazoezi mengineyo fanya ku-google
 
Hicho ndo kizuri kinaondoa mafuta vipi umefanikiwa kiasi gani hebu nipe mrejesho na jemu vinapo patikana

Aisee nina six packs now ila mwanzoni ilikuwa hadi kucheka ni taabu.
 
Back
Top Bottom