MUSIGAJI
JF-Expert Member
- Dec 26, 2014
- 2,261
- 2,741
Wakuu salam,
Poleni na majukumu ya kutwa wakuu nimesoma nyuzi kadhaa humu juu ya kuimarisha uwezo wa sita kwa sita na jambo kubwa wadau wamezungumzia suala la mazoezi.
Kutokana na muda wa kukaa kibaruani nalazimika kuamka asubuhi sana na kurudi usiku kutokana na foleni za Jiji letu.
Naomba kusaidiwa kuna zile machine fulani (sijui zinaitwaje) unakuwa kama unanyonga hivi unaweza iweka hata chumbani.
Kwa mwenyekujua hizi zinauzwaje? Je kuna ambazo unaweza kutumia bila umeme?.