Msaada; Nahitaji beat ya tangazo la Tigo

Msaada; Nahitaji beat ya tangazo la Tigo

Rocky City

JF-Expert Member
Joined
Nov 22, 2017
Posts
1,009
Reaction score
807
Katika tangazo la tigo hili jipya la baba ulimpatajemama kuna beat ya chini inasikika kwa mbali,naomba mwenye kujua beat hiyo huwa ni ya wimbo gani anisaidie tafadhali
 
Back
Top Bottom