msaada nacte wakuu

weis

Member
Sep 19, 2018
13
45
Habari za muda wakuu naombeni msaada kila niki log in kwenye profile yangu nacte wananiambia no user name and password matched you are entry mwaka jana ilikua haizingui sana kama mwaka huu. kwa mwenye ufahamu na hii mambo naomba msaada nifanyaje. natanguliza shukrani wakuu
 
Mkulngwa

Member
May 16, 2019
8

Mfumo bado hujafunguliwa rasmi hivyo nivyema kuvuta subira....
 
Mkulngwa

Member
May 16, 2019
8
45
Shukrani mkuu nimekupata
Amna shidah mkuu.... Kikubwa zaidi kama mfumo haujafunguliwa rasmi mengi yanaweza kutokea ktk mfumo was mtandao.... Either waweza kufanya payment isifike au ikafika ila uspate huduma stahiki hivyo kuweka tangazo Lile inawalinda kwa namna moja hau nyengne kwamba lolote litakalo tokea hawausiki..... ๐Ÿ™๐Ÿ™๐Ÿ™๐Ÿ™๐Ÿ™๐Ÿ™๐Ÿ™๐Ÿ™๐Ÿ™๐Ÿ™๐Ÿ™๐Ÿ™ Thank you
 
Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom