Habari
Kamwene jamani,
Nimepata ufadhili wa masomo ya information and communication technology, ni government sponsored short course, changamoto nashindwa kufanya exercise nikiwa nyumbani na baadhi ya assignment inakua changamoto.
Ombi langu kwenu,ni kama kuna mtu ana laptop/computer ya desktop na haitumii naomba aniazime kwa makubaliano maalumu.ikiwezekana kuandikishana na pindi nitakapo maliza masomo nitamrudishia.
Nipo Donbosco ya Iringa mjini
Mambo mengine ni uzembe hivi Wewe unashindwa kumiliki laptop, mbona simu janja unayo?

Mkuu simu yake janja unaifahamu?
Weka mbinu za kumiliki hiyo laptop ili wengine wenye uhitaji wafaidike pia