Msaada: Naazima laptop/desktop computer kwa ambaye haitumii

Msaada: Naazima laptop/desktop computer kwa ambaye haitumii

Kuna member mmoja hapa JF alikuja na itikadi zake za Individualism.

moja ya characteristics za Individualism ni kuwa Self-sufficient. manake uwe na uwezo wa kukidhi haja zako bila kutegemea msaada wa mtu mwingine..

Kitendo chako cha kuomba msaada wa Laptop, tukijumlisha na kile cha marafiki zetu kutukopa hela, ni viashiria tosha kwamba Individualistic culture haipo perfect na sio culture ya kuipromote..

bado tunahitajiana..
nakutakia kila la kheri katika msako wa laptop Chief.
 
Ratiba zenu zimekaaje vipi hamna computer lab hapo chuo unaposomea vipi hauna class mates wenye PC Kama ni kwa kufanyia assignment anyway utapata vuta subira
 
Ratiba zenu zimekaaje vipi hamna computer lab hapo chuo unaposomea vipi hauna class mates wenye PC Kama ni kwa kufanyia assignment anyway utapata vuta subira
swali zuri asee ikiwezekana atafute rafiki wawe wanashea computer.
 
Ratiba zenu zimekaaje vipi hamna computer lab hapo chuo unaposomea vipi hauna class mates wenye PC Kama ni kwa kufanyia assignment
Ratiba zilivyokaa mimi naingia mchana/evening
Saa7 mchana mpaka saa1:45 usiku ndio natoka.
Chuoni kompyuta zipo lakini kutokana na uwingi wa wanafunzi muda wa kuzitumia ni mchache sana,muda mwingi tunasoma theory tu.
 
Kuna member mmoja hapa JF alikuja na itikadi zake za Individualism.
moja ya characteristics za Individualism ni kuwa Self-sufficient. manake una uwezo wa kukidhi haja zako bila kutegemea msaada wa mtu mwingine..
Kitendo chako cha kuomba msaada wa Laptop, tukijumlisha na kile cha marafiki zetu kutukopa hela, ni viashiria tosha kwamba Individualistic culture haipo perfect na sio culture ya kuipromote..
bado tunahitajiana..
nakutakia kila la kheri katika msako wa laptop Chief.

Asante sana mkuu naamini nitafanikiwa kwa hili
 
Eee bwana! Kamwene

Unoge? Kumbe jirani yangu kabisa mi niko hapa kigamboni
 
Mkuu mtafute Tulia mwambie unatoka mbeya mjini familia yenu ina watu ishirini na wote wamejiandikisha kupiga kura

Uongo kwangu ni dhambi mkuu,kwanini niseme natoka mbeya mjini wakati natoka iringa mjini.
Mwisho ntapoteza hata kidogo nilicho nacho
 
Habari

Kamwene jamani,

Nimepata ufadhili wa masomo ya information and communication technology, ni government sponsored short course, changamoto nashindwa kufanya exercise nikiwa nyumbani na baadhi ya assignment inakua changamoto.

Ombi langu kwenu,ni kama kuna mtu ana laptop/computer ya desktop na haitumii naomba aniazime kwa makubaliano maalumu.ikiwezekana kuandikishana na pindi nitakapo maliza masomo nitamrudishia.

Nipo Donbosco ya Iringa mjini
Si utumie tu simu kutypia na kufanya kazi zako????
 
Unaitaka kwa mda gani na unakodi kwa sh ngapi per mounth?
 
Kama zipi?mm chuo miaka 3 nimetumia simu hadi report nilikua natype kwa kutumia cm

Sijajua chuo ulikua unasoma nini mkuu,mimi nasoma masomo yanayohuyusu computer moja kwa moja.
Mfano computer programming using c utai practice vipi kwenye simu..?
Umesema ukikua unatype kwa kutumia simu ni sawa..je kwenye simu unaweza kupata full package ya Microsoft office ?
 
Nina Toshibacore i3 ram gb6 hdd 500
Ina nividia graphics
Nipe 300
Iyo mashine ni nzuri sana mkuu tatizo pesa cash,labda kama tukubaliane naomba niwe nakulipa kwa awamu,siitaji ata kujua ni aina gani ya toshiba,nachotaka iwe inapiga kazi
 
mkuu tupo course moja Kumbee.. PC Mimi naazimaga kwa wanafunzi wenzangu tuu
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom