Kamwene kamwene
JF-Expert Member
- Jul 7, 2019
- 1,159
- 2,611
Habari
Kamwene jamani,
Nimepata ufadhili wa masomo ya information and communication technology, ni government sponsored short course, changamoto nashindwa kufanya exercise nikiwa nyumbani na baadhi ya assignment inakua changamoto.
Ombi langu kwenu,ni kama kuna mtu ana laptop/computer ya desktop na haitumii naomba aniazime kwa makubaliano maalumu.ikiwezekana kuandikishana na pindi nitakapo maliza masomo nitamrudishia.
Nipo Donbosco ya Iringa mjini