Msaada: Naazima laptop/desktop computer kwa ambaye haitumii

me nipo don bosco Dodoma pc kuna jamaa wa chuo mipango pale ananiazima (ga).. computer za shule ni soo weka assignment kwenye flash..
Pamoja mkuu mimi nipo ya iringa mjini,vipi hela zimeanza kuingia huko mana tunashindwa ata kununua pc za bei rahisi
 
bado mkuu si walisema mwezi huu??.. watu nauli tuu inasumbua sembuse pc??

Sisi huku tumeanza kupewa card za bank ila pesa bado tumeambiwa mwezi huu,ngoja tusubiri.
Swala la nauli watu tunapiga lege kama hatuna akili nzuri😀😀🏃🏃
 
Huko mtaani au shuleni unaposoma hakuna watu wa kuwaazima? Kuombaomba ni tabia mbaya mkuu
 
Uongo kwangu ni dhambi mkuu,kwanini niseme natoka mbeya mjini wakati natoka iringa mjini.
Mwisho ntapoteza hata kidogo nilicho nacho
Unatumia nguvu nyingi kubishana na watu humu.....
wakati kopyuta za kisogo za mezani unaweza kupata hata kwa 70000
 
Mkuu mbona jina lako la profile haliendani na ulichokijibu hapa hizo computer unaweza fanya programming kweli? Java au C++ na mengineyo au ndio unamwingiza mwenzio chaka sidhan kama hiyo computer inaweza fanya installation hata ya visual basic design au Adobe dreamweaver
 
Am just joking! don't take it seriously
 
Habari

Kamwene jamani,

Nimepata ufadhili wa masomo ya information and communication technology, ni government sponsored short course, changamoto nashindwa kufanya exercise nikiwa nyumbani na baadhi ya assignment inakua changamoto.

Ombi langu kwenu,ni kama kuna mtu ana laptop/computer ya desktop na haitumii naomba aniazime kwa makubaliano maalumu.ikiwezekana kuandikishana na pindi nitakapo maliza masomo nitamrudishia.

Nipo Donbosco ya Iringa mjini
Mkuu iyo sponsorship mnapataje....naomba nielekeze kama hutojali
 
Huwa wanatangaza kwenye gazeti la serikali na magazeti ya serikali na kwenye tovuti ya wizara ya kazi ajira na maendeleo kwa vijana alafu wana direct pesa zao ziende kwenye chuo kipi watakacho kiamini..uwe unapita pita huko,kama sasa hivi kuwa makini kuanzia mwakani 2020 mwezi wa tatu na hizo site
 
Ahsante mkuu...unaweza kunitajia hapa izo tovuti
 
Huwa wanatangaza kwenye gazeti la serikali na magazeti ya serikali na kwenye tovuti ya wizara ya kazi ajira na maendeleo kwa vijana alafu wana direct pesa zao ziende kwenye chuo kipi watakacho kiamini..uwe unapita pita huko,kama sasa hivi kuwa makini kuanzia mwakani 2020 mwezi wa tatu na hizo site
Wanahitaji watu wenye vigezo vipi niwapasaie vijana wangu hizo issue
 
Inategemea mkuu,ila mara nyingi huwa wanaweka categories wanaweza kuchua hata
wa darasa la saba wakawapeleka kwenye ujenzi,useremala,ufndi magari n.k
Wa form four wakawapeleka kwenye umeme wa majumbani,viwandani,kutengeneza solar,na information and communication technology.. Zipo fani nyingi.
Kigezo kikubwa uwe mtanzania mwenye umri kati ya 18-35,elimu shule ya msingi mpaka secondary
 
Nakubali Mwagitoo

Vpi kuhusu hizo website yanakopatikana matangazo
 
Habari leo na daily NeWS haya yanapatikana sehemu zote nchini,alafu lile la serikali kwenye ofisi za mpiga chapa wa serikali kama upo dar,linatoka kila wiki kila mwezi,website ya wizara ya kazi ajira na maendeleo kwa vijana ipo google mkuu
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom