Msaada na ushauri

bintishomvi

JF-Expert Member
Mar 21, 2015
1,164
832
Habari wana jamvi ! Nilikuwa naomba ushauri kuna Fundi maeneo ya Tabata garage nilipa pesa ya kunitengenezea machine ya kusaga plastic chakavu .Toka mwaka 2011 kwa makubaliano ya kipindi kile atatumia week 2 nikampa nusu na robo ya pesa akimaliza tumaliziane kiasi kilicho baki ,tukakakubaliana hivyo mimi nikaanda eneo la biashara na kulipia kodi huku nikiendana na muda Wa mashine kumalizika . muda ulipita kila nikienda naambiwa bado bado ikapita muda mpaka pango muda ukaisha nikapata hasara ya kwanza, nikampapa muda tena nikaenda nikamkuta mtu mwingine lakini wakati tunakubaliana walikuwa wawili kwahiyo mmojawapo aliebaki akaniambia yule kaamishiwa kwa sasa mkurugenzi ndio huyu ,akanikabidhi kwa mwingine akaniambia malizia pesa nikumalizie mashine yako. nikammalizia pesa yote akatengeneza nae akaanza usumbufu akaniambia nunua mota tutestie nae akadai mota anayo nikampa pesa yote akagusagusa Kidogo akaitekeleza,nimekata shauri kwenda Polisi Tabata nikapewa barua ya wito nikampelekea na kumkabidhi barua ya wito chakushangaza akuja na amekaa kimya .nimeshauriwa nionane na Mkuu Wa kituo nae nimeenda zaidi ya Mara 2 sijamkuta nimepewa namba yake nimempigia simu aikupokelewa nikamtumia sms kwa ufupi akanirudishia sms ya ok
Kwahiyo nimekuja kwenu waungwana mnishauri .
 
kawaroge hao umalize machungu washenzi kweli,siku nyingine kabla haujafanya jambo uwe unauliza kwanza humu watu wangekusaidia wapi wanapatikana mafundi waaminifu wa kusuka moter hata chuo cha VETA wapo
 
kawaroge hao umalize machungu washenzi kweli,siku nyingine kabla haujafanya jambo uwe unauliza kwanza humu watu wangekusaidia wapi wanapatikana mafundi waaminifu wa kusuka moter hata chuo cha VETA wapo
Enzi izo nilikuwa sijaijua jf nilihangaika sana adi sido waliniambia wanakazi nyingi nikaangukia huko
 
Back
Top Bottom