20PROFF
JF-Expert Member
- Nov 5, 2013
- 8,217
- 7,261
Habari ,
Hivi inakuaje niki bonyeza button ya kushare kwenye simu yangu inaenda moja kwa moja kutaka kutumia BLUETOOTH pekeeee? Haini options zingine kama ilivyo kuwa mwanzo.
Uki bonyeza share tu, inataka washa bluetooth
Nime CLEAR DEFAULT APP katika bluetooth.
Natumia android version 4.4.2