Msaada mzuri: Kwenu mliozaliwa March

Msaada mzuri: Kwenu mliozaliwa March

N
Happy Sunday kwenu wote

Kuna shemela bwana alifanya statistics yake ya kibishi sijui alitumia muda wa kutosha au wa kulipua? kiru me hata sijui

Sasa ulipofika mwezi march, akaniambia hivi

Shemela: hongera Money Penny kwa kuzaliwa march, ila nikuulize, kwanini wadada wengi waliozaliwa march wana chura sana/Msambwanda wa kufa mtu/ Migongo classics/ Shibudi Shibudee?!
Me nimefanya utafiti hapa nakosa kujua kwanini Mungu alimwaga vyura kwa wadada halisi mwezi March, miezi mengine wengi wao wana vyura vya kutengeneza

We mwangalie mke wa Ice T, yule Coco, kuna Kmichelle, Aretha franklin, Tamar Braxton, Money Penny, wote wana chura halisi

Alafu march babies mna Talent za kufa mtu, breath taking mind blowing talents, alafu mna roho nzuri sanaaaa hakunaga kama nyie roho zenu za pekeee

Money Penny: kwahiyo sasa point yako ni ipi labda?!

Shemela: kuwa Mungu kawapendelea sana March Babies, ni kweli wanavyosema Legendaries are born in march hawajakosea kabisaa

Eti wapendwa hili nalo linaukweli au shemela alikuwa anatafuta kiki?!


a wanaume waliozaliwa March je, kumbe Money Pen duh
 
March hoyeeeeeeee!!!!!!

Mimi 25 march
My babby 30 march

Sifa zilizotajwa hapo my Bebe anazo zote na nyingine hazijatajwa. Ila march bebes wengi ninachowapendea mbali na maumbo yao ni ule ucheshi wao na utundu. Pia Kunako kichwa hawajambo.

Ahsante Mungu kwa kuzaliwa march
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom