Money Penny
JF-Expert Member
- Jun 20, 2016
- 18,204
- 17,560
- Thread starter
- #41
Ah sikujuaMoney Penny nilishakuambia spendi ku qoutiwa hivyo kwenye uzi wako.
Staki . ni qoute mimi tu au labda kama text zinaendana na mtu mwingine.
Sawa shemela
Ah sikujuaMoney Penny nilishakuambia spendi ku qoutiwa hivyo kwenye uzi wako.
Staki . ni qoute mimi tu au labda kama text zinaendana na mtu mwingine.
Nilishakuambia kwenye uzi fulani.Ah sikujua
Sawa shemela
kweliii hongera ila itakuwa imepita maana sijaona ukichinja ngombe kule masain kwetu u know,,,alaf wanaume wa march mambo yenu Ni yahatarii namuachia wifi yng me sistayawezaNimefurahi aseeh.
Ganja mwenyew nimezaliwa march
Haha crazy..kweliii hongera ila itakuwa imepita maana sijaona ukichinja ngombe kule masain kwetu u know,,,alaf wanaume wa march mambo yenu Ni yahatarii namuachia wifi yng me sistayaweza
Happy Sunday kwenu wote
Kuna shemela bwana alifanya statistics yake ya kibishi sijui alitumia muda wa kutosha au wa kulipua? kiru me hata sijui
Sasa ulipofika mwezi march, akaniambia hivi
Shemela: hongera Money Penny kwa kuzaliwa march, ila nikuulize, kwanini wadada wengi waliozaliwa march wana chura sana/Msambwanda wa kufa mtu/ Migongo classics/ Shibudi Shibudee?!
Me nimefanya utafiti hapa nakosa kujua kwanini Mungu alimwaga vyura kwa wadada halisi mwezi March, miezi mengine wengi wao wana vyura vya kutengeneza
We mwangalie mke wa Ice T, yule Coco, kuna Kmichelle, Aretha franklin, Tamar Braxton, Money Penny, wote wana chura halisi
Alafu march babies mna Talent za kufa mtu, breath taking mind blowing talents, alafu mna roho nzuri sanaaaa hakunaga kama nyie roho zenu za pekeee
Money Penny: kwahiyo sasa point yako ni ipi labda?!
Shemela: kuwa Mungu kawapendelea sana March Babies, ni kweli wanavyosema Legendaries are born in march hawajakosea kabisaa
Eti wapendwa hili nalo linaukweli au shemela alikuwa anatafuta kiki?!
Noma sanaaa
Sawa street pastor or let me just say E-Pastor. Me mbona nimeshamkabithi Yesu maisha yangu?! Embu mwulize vzuri Yesu kama hajakwambia ananifahamu!sawa money penny hongera kwa uzuri ulionao,,lakini nakushauri mkabidhi bwana yesu maisha yako maana huu mwili tunaohangaika nao siku moja tutauacha ardhini.
imetoka kwa pastor mmoja huku JF amesema nimsaidie kucomment hivi.....
Kiru! Naona alitumia njia mbadala ila na mie nikajikausha kama sijui anachoongeaHuko kunaitwa kutongozwa my march mate
Hongera sana31st March
AhahahaKumbe huku ni kwenye misambwanda
Kuna kaukwel kiasi flani upande wa talent na pia ni watu wanaopenda kuwa independent. Lakini kwenye mapenzi mara nyingi huishia kuwa single mother's au ndoa zenye migogoro. Source (Kautafiti binafsi)
Hahaaaaaa hapo ndipo napo amini hakuna kizuri kilichokosa kasoroKuna kaukwel kiasi flani upande wa talent na pia ni watu wanaopenda kuwa independent. Lakini kwenye mapenzi mara nyingi huishia kuwa single mother's au ndoa zenye migogoro. Source (Kautafiti binafsi)
Mkonyo?! AhahahaNaunga mkonyo
hoja
Yes dearAnhaaaaaaa kumbeeeee
Ndio bwasheeKumbe huku ni kwenye misambwanda
Men of march are lovely...polite , carring n genious in every perspectivewhat about men in march