Daby
JF-Expert Member
- Oct 26, 2014
- 34,961
- 80,195
Kwani unataka uongeze chura na yule wote uliyenaye shemeji?Hahahaha
Inabidi nihamie March kabla haijaisha aisee
Kwani unataka uongeze chura na yule wote uliyenaye shemeji?Hahahaha
Inabidi nihamie March kabla haijaisha aisee
HeheeeeKwani unataka uongeze chura na yule wote uliyenaye shemeji?
Hahahah![]()
![]()
![]()
nimeona aibu
tumejaaliwa dudez nzito. Nene na ndefu, full manguvuwhat about men in march
Hapa kazi tu. HahahahaAisee, huyo jamaa mjanja anatumia hadi opportunity za siku za kuzaliwa.
Yeleuuuwi pole sana Kumbe Mungu hatoagi vyote?! Kiru! Ila tabia zingine unazo sio?! Izo alizoandika maana naona wewe umeona chura tuMbona na kuzaliwa kwangu march sina hata lepe la chura, ukntazmama huwez jua mgongo umeishia wap wala mapaja yameanzia wap, Mwambie arudie huo utafiti. N.b sio mim tu kuna mwngne namjua hana hata dalil ya kuwa chura yaweza ota.
Ahahahha, asante boss sio maneno yangu ni ya shemelaMoney Penny asante kwa kutufahamisha una msambwanda wa kufa mtu/mgongo classic/shibuda shibudee whatever that means!
NB: For Promotional Use Only.
Aisee, mpe hongerakweli lina.kazaliwa march nae yuko vizuri backside
Ahahaha nimecheeeka kweli, weweee acha kunichokozaaTangazo hilo limedhaminiwa na viganja.
Ai weee weee embu tupe maujana tusikieKumbe tuliozaliwa March tupo wengi humu JF! Nilikuwa silifahamu hilo. Nina sifa lukuki za Watu waliozaliwa mwezi March ila ngoja nizichunie Kwanza.
Mlipwe nini tena?!ahahahaSisi me tulipewa naniiiiiihiii you know eeh
Wenzetu wakapewa chura. Tehteh
Ahahaha nimecheeekaaaHahahahaha lol! Chura itakuja bi dada usitie hofu yako yastawi taratibu kama mbuyu.
Awww Happy Birthday March Baby, Be Blessed Abundantlyupande wetu wanaume Veep
ninezaliwa Leo I wish my best Inna na wengine mki ni wish nitajisikia poa sana
Ahahaha, mwezi wa Malkia wa nguvu sio?!Hahahaha
Inabidi nihamie March kabla haijaisha aisee
Sio kweli me nadhani ulipata demu wa March Mkaaaali afu ukampoteza au akakubwaga ndio maana unaleta hasira hapa. Poleee. Kulia vepee?!March chenga tu, mambo fulan wabovu aise
Kiru ndoooroooboe ngoja nikawashe a/c inipepeetumejaaliwa dudez nzito. Nene na ndefu, full manguvu
Happy Sunday kwenu wote
Kuna shemela bwana alifanya statistics yake ya kibishi sijui alitumia muda wa kutosha au wa kulipua? kiru me hata sijui
Sasa ulipofika mwezi march, akaniambia hivi
Shemela: hongera Money Penny kwa kuzaliwa march, ila nikuulize, kwanini wadada wengi waliozaliwa march wana chura sana/Msambwanda wa kufa mtu/ Migongo classics/ Shibudi Shibudee?!
Me nimefanya utafiti hapa nakosa kujua kwanini Mungu alimwaga vyura kwa wadada halisi mwezi March, miezi mengine wengi wao wana vyura vya kutengeneza
We mwangalie mke wa Ice T, yule Coco, kuna Kmichelle, Aretha franklin, Tamar Braxton, Money Penny, wote wana chura halisi
Alafu march babies mna Talent za kufa mtu, breath taking mind blowing talents, alafu mna roho nzuri sanaaaa hakunaga kama nyie roho zenu za pekeee
Money Penny: kwahiyo sasa point yako ni ipi labda?!
Shemela: kuwa Mungu kawapendelea sana March Babies, ni kweli wanavyosema Legendaries are born in march hawajakosea kabisaa
Eti wapendwa hili nalo linaukweli au shemela alikuwa anatafuta kiki?!


happy birthdayupande wetu wanaume Veep
ninezaliwa Leo I wish my best Inna na wengine mki ni wish nitajisikia poa sana
Hahahaaaaa ngoja nitakutumia privateWeka picha tuthibitishe hili kwamba kweli huna chura mkubwa lol!

KapichaTuliozaliwa March tuko vizuri kwakweli japo mimi sina chura mkubwa hahahaaaaaa
Unamaanisha nini!Kwelii ,,,Ni hataree bakuliana Na ww 85% me pia Ni march sema ntakuwa kwenye hiyo 15% ilibaki
naamanisha sina chura Kama wa money penny and not such cute as babies in march but am open minded kichwan kidogo sio mbaya sanaUnamaanisha nini!
Tehteh... haya bhn. Kwemah lknnaamanisha sina chura Kama wa money penny and not such cute as babies in march but am open minded kichwan kidogo sio mbaya sana
kwann unancheka sasa,,,kwema bwana FabyTehteh... haya bhn. Kwemah lkn
Nimefurahi aseeh.kwann unancheka sasa,,,kwema bwana Faby
Thank u darling!
Aya boss nasubiriHahahaaaaa ngoja nitakutumia private![]()
Du! Asilimia 15 ndogo sana jamaa mbona unakuwa na inferiority complex ambazo akina March babies hawana usifanye ivyo bestKwelii ,,,Ni hataree bakuliana Na ww 85% me pia Ni march sema ntakuwa kwenye hiyo 15% ilibaki
Kweli?! MARCH ngapi?! Hongera sanaNimefurahi aseeh.
Ganja mwenyew nimezaliwa march