Msaada mzuri: Kwenu mliozaliwa March

Msaada mzuri: Kwenu mliozaliwa March

Money Penny

JF-Expert Member
Joined
Jun 20, 2016
Posts
18,204
Reaction score
17,560
Happy Sunday kwenu wote

Kuna shemela bwana alifanya statistics yake ya kibishi sijui alitumia muda wa kutosha au wa kulipua? kiru me hata sijui

Sasa ulipofika mwezi march, akaniambia hivi

Shemela: hongera Money Penny kwa kuzaliwa march, ila nikuulize, kwanini wadada wengi waliozaliwa march wana chura sana/Msambwanda wa kufa mtu/ Migongo classics/ Shibudi Shibudee?!
Me nimefanya utafiti hapa nakosa kujua kwanini Mungu alimwaga vyura kwa wadada halisi mwezi March, miezi mengine wengi wao wana vyura vya kutengeneza

We mwangalie mke wa Ice T, yule Coco, kuna Kmichelle, Aretha franklin, Tamar Braxton, Money Penny, wote wana chura halisi

Alafu march babies mna Talent za kufa mtu, breath taking mind blowing talents, alafu mna roho nzuri sanaaaa hakunaga kama nyie roho zenu za pekeee

Money Penny: kwahiyo sasa point yako ni ipi labda?!

Shemela: kuwa Mungu kawapendelea sana March Babies, ni kweli wanavyosema Legendaries are born in march hawajakosea kabisaa

Eti wapendwa hili nalo linaukweli au shemela alikuwa anatafuta kiki?!

Mbona na kuzaliwa kwangu march sina hata lepe la chura, ukntazmama huwez jua mgongo umeishia wap wala mapaja yameanzia wap, Mwambie arudie huo utafiti. N.b sio mim tu kuna mwngne namjua hana hata dalil ya kuwa chura yaweza ota.
 
Hahahahaha lol! Chura itakuja bi dada usitie hofu yako yastawi taratibu kama mbuyu.

upande wetu wanaume Veep

ninezaliwa Leo I wish my best Inna na wengine mki ni wish nitajisikia poa sana
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom